Bongo starehe zipo pia sema hauna hela
Bongo starehe zipo pia sema hauna hela
Aisee ni kweli sema waganda hawana maadili vidada vyao sura mbaya vinapenda sana kuvaa nusu uchi ili at least vivutie wanaume. Wote wanapenda kujitamba eti ni wanyarwanda kumbe hawana lolote!wadau nipo jiji la kampala ni siku ya tatu sasa nipo hapa,si utani hawa kina sebho na nyabho wanajua kula maisha,kwa nilichoshuhidia kwa muda huu bongo tunasubiri
Aisee ni kweli sema waganda hawana maadili vidada vyao sura mbaya vinapenda sana kuvaa nusu uchi ili at least vivutie wanaume. Wote wanapenda kujitamba eti ni wanyarwanda kumbe hawana lolote!
Ila kiujumla napenda sana mandhari na hali ya hewa ya nchi ya Uganda.....fresh air and green lands!Aisee hujaona wale wa western uganda hao ndo wazuri na wana ututsi fulan hivi ukiwaona