Angalia mpagilio wa jiji la dsm barabara,miundo mbinu mbarlimbali ikiwemo usafiri huwezi amini mpaka leo kamapala wanatumia vihiace kusafirisha abiria leo kampala bodaboda(tukutuku) mpaka katikati ya jiji lakini dsm ukingia na bodaboda,bajaji,au hiace ya abiria maeneo kama posta,kariakoo,msasani masaki n.k wewe ni mwanaume maeneo kama yale hayaruhusiwi kabisa.Kwa ufupi jiji la dsm leo hii kuna mabasi ya mwendo kasi yanayobeba abiria kampala tuwape miaka 7 kufikia hatua hiyo,kama umewahi fika dsm city morogoro road ilivyojengwa kisasa sehemu za kusubiri abiria(vituo) vimejengwa kisasa compare na barabara za UG huo ni kwa ufupi tu lakini pia majengo ya UG hasa ghorofa ubunifu ni hafifu wanajenga ramani ambazo ni common sana.
Huwezi linganisha na Dar lakiniVizuri kwa ufafanuzi wako
Lakini kumbuka
Kampala ya 2010 si yaleo.
Mimi nakuelewa Dr, lakini hata wewe unajuwa jiji ni pesa, mipango, na uwekezaji. Kampala wakiwa na hivyo na wao wanaweza kujipanga. Nilipataga bahati ya kwenda Tokyo, Tokyo ni mji mkongwe kwa hiyo huwezi kufanya mabadiliko mengi mutokana na wao wanataka kulinda mji wao mkongwe. Lakini wenzetu wame upanga mji wao vizuri hadi unaona raha. Barabara zao ni za kubabana lakini zinatosha. Majengo mengi sio marefu ila yapo marefu. Kutokana na kuwa na sehemu ndogo magari wanayotumia ni madogo wanayaita K-car au "vibosi" hata hapa Dar naviona siku hizi. Lakini nikiangalia jiji la Tokyo napata moyo kwamba hata sisi Dar au Mwanza au Arusha tunaweza kuziendeleza kama walivyo wenzetu walio endelea.Angalia mpagilio wa jiji la dsm barabara,miundo mbinu mbarlimbali ikiwemo usafiri huwezi amini mpaka leo kamapala wanatumia vihiace kusafirisha abiria leo kampala bodaboda(tukutuku) mpaka katikati ya jiji lakini dsm ukingia na bodaboda,bajaji,au hiace ya abiria maeneo kama posta,kariakoo,msasani masaki n.k wewe ni mwanaume maeneo kama yale hayaruhusiwi kabisa.Kwa ufupi jiji la dsm leo hii kuna mabasi ya mwendo kasi yanayobeba abiria kampala tuwape miaka 7 kufikia hatua hiyo,kama umewahi fika dsm city morogoro road ilivyojengwa kisasa sehemu za kusubiri abiria(vituo) vimejengwa kisasa compare na barabara za UG huo ni kwa ufupi tu lakini pia majengo ya UG hasa ghorofa ubunifu ni hafifu wanajenga ramani ambazo ni common sana.
Kuna maendeleo ambayo hayakataliki piga uwa galagaza lazima kama mwanzo hamkudesign vema wa jiji lazima mbomoe na kuweka katika standard yenye kuweza kuhimili population ya watu.Mimi nakuelewa Dr, lakini hata wewe unajuwa jiji ni pesa, mipango, na uwekezaji. Kampala wakiwa na hivyo na wao wanaweza kujipanga. Nilipataga bahati ya kwenda Tokyo, Tokyo ni mji mkongwe kwa hiyo huwezi kufanya mabadiliko mengi mutokana na wao wanataka kulinda mji wao mkongwe. Lakini wenzetu wame upanga mji wao vizuri hadi unaona raha. Barabara zao ni za kubabana lakini zinatosha. Majengo mengi sio marefu ila yapo marefu. Kutokana na kuwa na sehemu ndogo magari wanayotumia ni madogo wanayaita K-car au "vibosi" hata hapa Dar naviona siku hizi. Lakini nikiangalia jiji la Tokyo napata moyo kwamba hata sisi Dar au Mwanza au Arusha tunaweza kuziendeleza kama walivyo wenzetu walio endelea.
Ibadilike lakini dar juuSawa lakini Kampala imebadilika
Wewe vipiKampala pako vizuri ....
Usiifananishe na dar au Nairobi
Kwa lipi hasaWewe vipi
Unawachokoza wakenya
Na hili ndio tatizo kuu la darKuna maendeleo ambayo hayakataliki piga uwa galagaza lazima kama mwanzo hamkudesign vema wa jiji lazima mbomoe na kuweka katika standard yenye kuweza kuhimili population ya watu.
Wakandarasi wengi huwa wanafeli wanapokuwa wanadesign majengo au barabara au miundombinu mingine kama barabara wengi wanajisahau baada ya miaka 20 au 50 mbele nchi itakuwaje ndo maana bomoabomoa haziishi
Mimi naona ni Dar mwanza Tanga Arusha Mbeya nkNipe orodha ya majiji makubwa tanzania kuanzia kubwa hadi dhaifu zaidi
Arusha huwezi linganisha na Kampala bwanaKumbe Kampala kama arusha tuu
baada ya miaka 20 nakuhakikishia morogoro road tutabomoa kama siyo kupanua japo nmependa sana barabara ilivojengwa kwa ubora wa hali ya juu.Na hili ndio tatizo kuu la dar
Ujenzi wa hovyo hovyo
Lakini watu haohao wanaopenda lazima watalaani hilo likitendekabaada ya miaka 20 nakuhakikishia morogoro road tutabomoa kama siyo kupanua japo nmependa sana barabara ilivojengwa kwa ubora wa hali ya juu.
Wakenya hujiona kama Nairobi ni DubaiKwa lipi hasa
Ushamba tuWakenya hujiona kama Nairobi ni Dubai
Upo sahihi nduguKuna maendeleo ambayo hayakataliki piga uwa galagaza lazima kama mwanzo hamkudesign vema wa jiji lazima mbomoe na kuweka katika standard yenye kuweza kuhimili population ya watu.
Wakandarasi wengi huwa wanafeli wanapokuwa wanadesign majengo au barabara au miundombinu mingine kama barabara wengi wanajisahau baada ya miaka 20 au 50 mbele nchi itakuwaje ndo maana bomoabomoa haziishi