Kamishna wa madini apatikana

Kamishna wa madini apatikana

Ngangari

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
43
Reaction score
44
Taarifa kutoka Ikulu ni Kuwa Engineer Paul Masanja ameteuliwa kuwa Kamishna mpya wa Madini. Kabla ya hapo alikuwa CEO wa TMAA. Enye CV yake tupeni. Nasikia jamaa ni jembe la uhakika.
 
Tembelea web. ya Tmaa uone cv yake. Jamaa inasemekana yupo poa sana kikazi
 
Ina maanisha ameula au? Mbona km u-c.e.o wa Agencies upo vzr kuliko ukamishna wzrn! Au
 
Ina maanisha ameula au? Mbona km u-c.e.o wa Agencies upo vzr kuliko ukamishna wzrn! Au
CEO anateuliwa na Waziri wakati Kamishna wa Madini ni mteule wa Rais. Hivyo jamaa amepaa. Ni kweli jamaa yuko vizuri sana, nimeona hata CV yake iko poa. Namtakia heri aokoa madini yetu
 
Jamaa aliwahi kuwa bosi wangu namkubali ni jembe sana , mchapa kazi mzuri sana na mbunifu pia
 
Back
Top Bottom