Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga akihojiwa na Redio DW, amesema watafuata Sheria na sio kutangaza majina ya watu kwenye vyombo vya habari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.