Kametoa mimba,kameshndwa kutoa ukimwi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kametoa mimba,kameshndwa kutoa ukimwi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Senator p, Jun 6, 2012.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakat serikal na asasi zikiendelea kupiga vita utoaj mimba.Kabint flan mtaani flan kameumbuka,baada ya wk mbili kupita baada ya kutoa mimba.Kamejaza wa2 kwao baada ya kwenda kupima amejikuta kahasika,na kapita njia nzima anapiga kelele za kulia.Ndio wa2 kusimamisha na kumuulza,sijui kachanganyikiwa kataja mpaka alie mpa mimba kumbe n mwalmu wake.
  Tumpeni pole.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  dah! ? ? ? ?
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  mbona umeandika kama unafurahia kilichotokea!!!
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  uwiiiiiiii watoto hawa .com! mhhhhh!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  unyanyapaa unaanzaga hivi hivi!

  Ingawa siungi mkono kutoa mimba
   
 6. S

  Senator p JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio unyanyapaa,kama asngetoa mimba asingepma kwa lazma.Angejpanga ksha akipma mwenywe kwa hiar.Tatzo imemsumbua wk zma ndio maana ikamlazmu,na ili ujue hatumnyanyapa tumemshauri.Hata hcho kichwa hapo juu yeye ndie kasema kwamba "NIMETOA MIMBA, ILA UKIMW UMENSHNDA" ndio watu kujua.
   
 7. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kama mdogo wangu huyo namfinyangaje!
   
 8. ENDLESS

  ENDLESS Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatudanganya ina maana ulikaa nae ukampa ushauri mpaka akakubali kuandika hicho kichwa cha hii habari yako
   
 9. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jambo hili mi naliangaliza kwa upande mwingine kabisa. Kwa maelezo ya hapa juu, binti huyu anaonekana ni mdogo ki-umri na aliyempa mimba na pengine kumpa huo Ukimwi ni mwalimu wake. Na kwa umri huo, nalazimika kuamini kuwa mwl huyo ndiye aliyemrubuni huyo binti na kumtia kwenye matatizo hayo.

  Hoja yangu ni inakuwaje mwalimu aliyeaminiwa kuangalia malezi ya watoto wetu huko mashuleni anageuka kuwa ni mharibu wa watoto wetu? Utaratibu huu ukichekewa kama hivi na jamii watoto wetu tutawapeleka wapi kupata elimu? Na hata kama tunawalea kwa maadili kiasi gani kama walimu ni wazinzi wa kiwango hiki, wanetu watanusurika vipi???

  Mi nashauri jamii iliyomzunguka huyo binti pamoja na wazazi wake binti kumreport mwl ili sheria ichukue mkondo wake. Ni wazi kuwa wazazi na mtoto wameingia kwenye tatizo lisilorekebishika kirahisi lakini ili kupunguza kasi ya matukio kama haya na kuwaonya walimu wote wenye tabia kama hizi, no bora ashtakiwe na haki kuchukua mkondo wake.

  Walimu wengine bwana, loh!
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jamani wengine umri umeenda na misamiati ya vijana hatuifahamu vzr, kuliwa kiboga ndo kupewa mimba?
   
 11. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole zake,aanze tu kuishi kwa matumaini.
   
 12. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  mmmh,inatisha!
   
 13. ropam

  ropam Senior Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu ampe nguvu...then wewe muanzisha maada hizo "ka" unazozifanya prefix kumu-identify huyo mtoto sio busara! its called "sympathy"-learn to understand people's problems
   
 14. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mbona kama unashadadia senetor! This is a sad story.
   
Loading...