OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
paka awa rafiki wa panya kwa mara ya kwanza, sitta na lowassa wote hawafai waungane wagombane hakuna tunalotaraji kutoka kwao
watasubir sna ccm wagombane,ccm mileleeeeee
nyie ndio wale wa division five
ulichoulizwa ci hichi ulichoandka hapa!
Muulize baba yako nilipata Division Gani akiwa na Div ipi?
mkuu hatakama uligonga dv moja,kwann umeishia kunywesha gongo
mkuu hatakama uligonga dv moja,kwann umeishia kunywesha gongo
na wewe mbona akili yako umeharibu kwa sembe ya lumumba
waungane wasiungane letu ni moja tu kuyaondoa maccm madalakani