Kambi ya Lowassa njooni hapa tumnadi Magufuli

Kambi ya Lowassa njooni hapa tumnadi Magufuli

Nzega Yetu Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
306
Reaction score
137
Uchaguzi Umekwisha, Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Hila. Sasa Kama Kweli Mgombea Aliyepachikwa Na Chama Anapendwa Na Wananchi Kuliko Lowasa, Atashinda Uchaguzi, Kwa Kuwa Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Uonevu Na Hila, NAPENDEKEZA KURA ZETU ZOTE KWA UKAWA DR SLAA.TUWAACHIE MGOMBEA WAO.TUKUTANE OKTOBA
 
Mbona umeandika kinyume? By the way hamna jipya
 
Baki na ukawa yako tu mjomba unataka kuwapotosha buure
 
Eti kambi Lowasa njooni hujui wako hoi wana hamu sasa juzi walikesha jana wamesha nahakuna walichokifanya tangu juzi zaidi yakupanga mbinu mtu wao kupeperusha bendera, wengine presha zimeshuka na wengine zimepanda ulaji haupo tena ahadi walizopewa imebakia kuwa ndoto sasahivi humu huwezi kuwasikia tena wamekua waduchu kama nukta
 
Back
Top Bottom