Kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Iraq yashambuliwa tena kwa maroketi

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,920
15,609
Haya jamani sarakasi zaendelea huko mashariki ya kati. Kambi ya kijeshi ya US nchini Iraq imeshambuliwa tena. Waswahili husema ukishalikoroga lazima ulinywe.

Hili ni jambo la kusikitisha yaani USA na mifumo yake ya kisasa na ya gharama imeshindwa kudaka makombora ya juzi kati na roketi za sasa za hawa mashia, waajemi.

Swali, hivi kweli mifumo ya USA ya kudaka makombora anayowauzia waarabu kwa gharama za juu zaidi inaweza kufanya kazi iliyokusudiwa itapotokea uhitaji? (Mungu aipushe uhitaji huo kutokea)

=====
US reacts to latest rockets attacks on its Iraqi airbase by Iran

The United States, US, has condemned the latest rocket attacks on its airbase in Baghdad, the capital of Iraq.

Recall that officials and military sources had on Sunday evening disclosed that at least four Iraqi airmen were wounded.

According to the report, some shells hit the runway of the Balad airbase while another shell struck the gate.

Colonel Mohammed Khalil, a police officer in the northern Iraqi province of Saladin, said, “Three Iraqi soldiers, who were on guard at the airbase gate, were injured as a result of the shelling.

No group or individual has laid claim to the attack so far.

However, US Secretary of State, Mike Pompeo warned that such attacks must stop.

In a tweet, Pompeo wrote: “Outraged by reports of another rocket attack on an Iraqi airbase.

“These continued violations of Iraq’s sovereignty by groups not loyal to the Iraqi government must end.”

The attack comes amid tensions between America and Iran over the last two weeks resulting mainly from the death of Qassem Soleimani, an Iranian army General killed by the US government.

Recall that Iran had earlier launched missile attacks on two Iraqi airbases
 
Mkuu Mimi huwa nawashangaa sana watu wa Aina yako..hapa unashabikia kushambuliwa kwa jambo za Marekani(na nahisi unatamani wangeuawa) lakini hutaki matokea ya kushambulia huko yaani namaanisha retaliation.. wakifa hao militants utaanza kulaumu Marekani kuwa ni wababe..(kifo ni kifo bila kujali amekufa nani) ..unapokataa mauaji kataa kwa wote na si kuangalia kafa nani!

Mfano katika matukio yaliyopita Iraq mambo yalikuwa hivi;

*mambo ya Marekani ilishambuliwa kwa maroketi na wanamgambo wa kishia ikaua American contractor ( hukulaani)

*Marekani ikaripua kwa makombora kutoka kwenye ndege kambi za wanamgambo wa kishia na kuwaua zaidi ya 30+(watu wengi wakalaani ikiwemo na wewe bila shaka)

*maandamano na mashambulizi ya kuchoma moto ubarozi wa Marekani (geti la kwanza)yaliyifanywa na wanangambo wa kishia na baadhi ya wananchi wa kawaida waliokuwa wakiwaunga mkono.watu wengi walitetea hatua hiyo na wengine walifurahia (maybe ikiwamo na wewe)

*Marekani ikamshambulia kiongozi wa kijeshi wa Iran na mwenzake wa kikundi cha wanamgambo wa kishia na kuwaua. Watu wengi walilaani na kupinga hatua hiyo na kusema US ni wakorofi na hawafai kuwepo Iraq.(nahisi na wewe ulilaani pia)

Sasa kwa mtililiko huu huoni wewe husimami katikati na pia una dauble standard!

Hapa unatetea hatuo ya kushambuliwa kwa Wamarekani lakini hutaki na wao wajitetee au walipe kisasi..haya ni maajabu ya binadamu wa sasa hivi!
Taarifa mbaya sana kwa pro-usa. Lakini ukweli ndiyo huo:"wanaaibishwa" Somalia nyingine hiyo inawanyemelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakushauri uelewe kuwa hizi mambo ni Za Iraqi ila zina host wanajeshi wa Marekani..hivyo sidhani kama zina mifumo ya udunguaji makombora kama Patriot,THAAD au AEGIS (na hakika kuwa hakuna)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ziko Iraq ila usizidogeshe. Hizi kambi zimekuwa zikikaliwa na zinaendelea kukaliwa na wanajeshi wa Marekani. Palipokaliwa na wanajeshi wa Marekani tunaaminishwa kunakuwa na garantii ya usalama.

Asante kwa taarifa yako kuwa kambi hizo hazina mifumo ya kudungua makombora ya balistic. Nimepitia taarifa moja (hapo chini) nikaona hivyo kuwa hakuna mifumo hiyo na muandishi anasema ktk hali hiyo wanajeshi wasingewezafanya lolote isipokuwa kuangalia tu makombora yakitua kwenye ngome na kusababisha uharibifu.

Ila tukumbuke kule Saudia pamoja na uwepo wa mifumo bora ya US, ilishindikana kuharibu shambulizi la drones. Na wataalamu wanasema hata kama shambuzi lile lingekuwa limeelekezwa ndani ya US lingefanya madhara kwa kuwa mpaka sasa US mifumo yake haina uwezo wa kudili na aina ile ya shambulizi.
=====
Iran attack highlights US missile defense vulnerability
By: Bradley Bowman , Andrew Gabel , and Mikhael Smits   6 hours ago
395
ENPZBXEEEZBZFDGTSA4PZVR4JA.jpg
A U.S. soldier stands while bulldozers clear rubble and debris at Ain al-Asad air base in Anbar, Iraq, on Jan. 13, 2020, following Iranian missiles stikes. (Ali Abdul Hassan/AP)

The Iranian regime fired 16 ballistic missiles into Iraq on Jan. 8 at bases housing American troops. With no ballistic missile interceptors in range, U.S. forces could only watch and wait for impact. While no American or coalition partners were killed in the attack, next time could be different.
Iran launched its missiles from three sites in Iran, with 11 striking a base in Ain al-Asad and one hitting a base in Erbil. The lack of casualties should not lull planners into a false sense of security. A closer look at the attack demonstrates the need for additional ballistic missile intercept capacity.
 
Haya jamani sarakasi zaendelea huko mashariki ya kati. Kambi ya kijeshi ya US nchini Iraq imeshambuliwa tena. Waswahili husema ukishalikoroga lazima ulinywe.

Hili ni jambo la kusikitisha yaani USA na mifumo yake ya kisasa na ya gharama imeshindwa kudaka makombora ya juzi kati na roketi za sasa za hawa mashia, waajemi.

Swali, hivi kweli mifumo ya USA ya kudaka makombora anayowauzia waarabu kwa gharama za juu zaidi inaweza kufanya kazi iliyokusudiwa itapotokea uhitaji? (Mungu aipushe uhitaji huo kutokea)

=====
US reacts to latest rockets attacks on its Iraqi airbase by Iran

The United States, US, has condemned the latest rocket attacks on its airbase in Baghdad, the capital of Iraq.

Recall that officials and military sources had on Sunday evening disclosed that at least four Iraqi airmen were wounded.

According to the report, some shells hit the runway of the Balad airbase while another shell struck the gate.

Colonel Mohammed Khalil, a police officer in the northern Iraqi province of Saladin, said, “Three Iraqi soldiers, who were on guard at the airbase gate, were injured as a result of the shelling.

No group or individual has laid claim to the attack so far.

However, US Secretary of State, Mike Pompeo warned that such attacks must stop.

In a tweet, Pompeo wrote: “Outraged by reports of another rocket attack on an Iraqi airbase.

“These continued violations of Iraq’s sovereignty by groups not loyal to the Iraqi government must end.”

The attack comes amid tensions between America and Iran over the last two weeks resulting mainly from the death of Qassem Soleimani, an Iranian army General killed by the US government.

Recall that Iran had earlier launched missile attacks on two Iraqi airbases
twende tu, kuna siku utaleta uzi humu wewe mwenyewe hutaelewa kwa nini,
 
Mkuu Mimi huwa nawashangaa sana watu wa Aina yako..hapa unashabikia kushambuliwa kwa jambo za Marekani(na nahisi unatamani wangeuawa) lakini hutaki matokea ya kushambulia huko yaani namaanisha retaliation.. wakifa hao militants utaanza kulaumu Marekani kuwa ni wababe..(kifo ni kifo bila kujali amekufa nani) ..unapokataa mauaji kataa kwa wote na si kuangalia kafa nani!

Mfano katika matukio yaliyopita Iraq mambo yalikuwa hivi;

*mambo ya Marekani ilishambuliwa kwa maroketi na wanamgambo wa kishia ikaua American contractor ( hukulaani)

*Marekani ikaripua kwa makombora kutoka kwenye ndege kambi za wanamgambo wa kishia na kuwaua zaidi ya 30+(watu wengi wakalaani ikiwemo na wewe bila shaka)

*maandamano na mashambulizi ya kuchoma moto ubarozi wa Marekani (geti la kwanza)yaliyifanywa na wanangambo wa kishia na baadhi ya wananchi wa kawaida waliokuwa wakiwaunga mkono.watu wengi walitetea hatua hiyo na wengine walifurahia (maybe ikiwamo na wewe)

*Marekani ikamshambulia kiongozi wa kijeshi wa Iran na mwenzake wa kikundi cha wanamgambo wa kishia na kuwaua. Watu wengi walilaani na kupinga hatua hiyo na kusema US ni wakorofi na hawafai kuwepo Iraq.(nahisi na wewe ulilaani pia)

Sasa kwa mtililiko huu huoni wewe husimami katikati na pia una dauble standard!

Hapa unatetea hatuo ya kushambuliwa kwa Wamarekani lakini hutaki na wao wajitetee au walipe kisasi..haya ni maajabu ya binadamu wa sasa hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani anafanya nini mashariki ya kati? Marekani alikuja kufanya nini Libya? Marekani alienda kufanya nini Congo wakati wa Patrice Lumumba? Ukijiuliza hayo maswali ndio utajua kwa nini watu wanashabikia apigwe, middle east japo kulikuwa na viongozi kama Saddam au Libya kwa Muaamar ambao marekani inadai kuwa ni Magaidi au dictators lakini beleive it or not, USA imesababisha vifo vya ma milioni ya watu ikiwemo Afrika na Mashariki ya kati, kuingilia mambo ya watu na chokochoko zake kumepelekea civil war, ni bora Saddam angebaki middle east na Muammar angebaki, Obama alishakiri kumuua Muammar Libya ilikuwa ni mistake.
Ni bora Iraq ya Saddam kuliko Iraq ya sasa.
Ni bora Libya ya Muammar kuliko ya sasa.
Tazama Syria ilivyokuwa.

Wanakuja kwako kwa kuonyesha ulimwengu wanakwenda kusahihisha jambo fulani, wanakupiga, wanachukua mali zako, wanaacha raia wanauana ovyo, wanaondoka kibabe na ulimwengu unatazama.

Acha Iran ijitetee, acha USA apate wababe wenzie, binadamu wote ni sawa, itakuwa safi sana siku 1 apigwe hata kombora 100 hapo washington ili waone uchungu wake.
 
Mkuu Mimi huwa nawashangaa sana watu wa Aina yako..hapa unashabikia kushambuliwa kwa jambo za Marekani(na nahisi unatamani wangeuawa) lakini hutaki matokea ya kushambulia huko yaani namaanisha retaliation.. wakifa hao militants utaanza kulaumu Marekani kuwa ni wababe..(kifo ni kifo bila kujali amekufa nani) ..unapokataa mauaji kataa kwa wote na si kuangalia kafa nani!

Mfano katika matukio yaliyopita Iraq mambo yalikuwa hivi;

*mambo ya Marekani ilishambuliwa kwa maroketi na wanamgambo wa kishia ikaua American contractor ( hukulaani)

*Marekani ikaripua kwa makombora kutoka kwenye ndege kambi za wanamgambo wa kishia na kuwaua zaidi ya 30+(watu wengi wakalaani ikiwemo na wewe bila shaka)

*maandamano na mashambulizi ya kuchoma moto ubarozi wa Marekani (geti la kwanza)yaliyifanywa na wanangambo wa kishia na baadhi ya wananchi wa kawaida waliokuwa wakiwaunga mkono.watu wengi walitetea hatua hiyo na wengine walifurahia (maybe ikiwamo na wewe)

*Marekani ikamshambulia kiongozi wa kijeshi wa Iran na mwenzake wa kikundi cha wanamgambo wa kishia na kuwaua. Watu wengi walilaani na kupinga hatua hiyo na kusema US ni wakorofi na hawafai kuwepo Iraq.(nahisi na wewe ulilaani pia)

Sasa kwa mtililiko huu huoni wewe husimami katikati na pia una dauble standard!

Hapa unatetea hatuo ya kushambuliwa kwa Wamarekani lakini hutaki na wao wajitetee au walipe kisasi..haya ni maajabu ya binadamu wa sasa hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatulaani vifo vya majeshi yamarekani vinavyotokea nje ya US Kwasababu US wanaingia Katika Nchi Zawatu Kwamalengo Yakuziharibu Hawana Zaidi

Kama lengo lilikua kuundoa utawala wa Saddam Saddam Hayupo Wanangojea Nn IRAQ Wanangojea Nini LIBYA AFGHANISTAN !?

Hatupendi (SIPENDI)Mauaji Ya Yeyote Awe Mmarekani Muhindi Ama Yeyote Ila Akiwa Anaendeleza Ukaliaji Mabavu Kwanchi Zawatu Wacha Wakufe Tena Wakufe Kweli Kweli Ikiwezekana Wamalizwe Wote

Kama wanavyomalizwa Wasaudia Walioenda Kuvamia YEMEN nawamarekani Wafe Tu Hakuna Namna....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom