tuliwahi kuandika hapa jamvini kuwa mwishoni mwa siku ZITo ataibuka mshindi, someni nnipashe leo. sakata la wale wabunge wanaotuhumiwa kula rishwa sasa ni wazi limefikia mwisho, na badala yake PROFESA NA MWASWI ndo watuhumiwa wa kwanza kwa kupindisha taratibu za manunuzi. ni vema wananchi kuwaelewa viongozi wao, hasa wanapotaka kuugeuza ukweli kuwa uongo ili kushangiliwa. nani asiyejua kuwa nchi ipo kwenye mgao mkali wa umeme? lakini wafanyakazi waTanesco wameonywa kuwa endapo mtu atasema ukweli kuhusu mgao unaondelea atafukuzwa kazi. nchi ya waongo wanaoishi kwa kusema uongo, hata profesa anakuwa sehemu ya uongo!!!!
we mkuda. Hii habari ya kidaku. Soma mwenyewe na comment mwenyewe.
Hata ripoti yenye ukiisoma unaona inamtaja sana Maswi na siyo Mhongo, na hapa ndo ubabaishaji wa kamati hii unapoanza kuonekana.Kwa Maswi cna shaka but Mhongo mbona mapena sana?
lakini wafanyakazi waTanesco wameonywa kuwa endapo mtu atasema ukweli kuhusu mgao unaondelea atafukuzwa kazi. nchi ya waongo wanaoishi kwa kusema uongo, hata profesa anakuwa sehemu ya uongo!!!!
Kwahilo mimi bado niko upande wa Maswi. Kama nakumbuka alisema sheria hiyo ya manunuzi inampa uhuru wa kufanya maamuzi yenye maslahi kwa taifa. Sasa kama bei imepunguzwa tatizo lipo wapi?badala yake inayeonekana alikula rushwa ni maswi , kwa nini aliondoka akaenda mlango wa nyuma akaipa zanuni kampuni ya puma kisa Ina bei ndogo bila kuziuliza kampuni zingine ukizingatia kuwa hapo awali puma alibid kwa bei kubwa?
Tanganyika ya wadanganyika, hizo nguzo zinazotolewa na kupelekwa Mombasa na kurudi nazo wamezingelea au wameishia kubwabwaja tu kuhusu kanuni na sheria za manunuzi? Tangu mwanzo tulijua kuwa walikiuka hizo kanuni za kifisadi lakini kwa maslahi mapana ya umma.
KWani Profesa ni nani asiseme uongo