PreGE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa: Tumekagua miradi tumeona kuna matatizo katika maeneo mengi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tayari imefanya ziara yake mkoani Iringa kuanzia 16 march na kutamatika 18 march 2025 ikikagua miradi yenye hoja za kikaguzi katika Halmshauri tatu za mkoa wa iringa ikiwemo, Halamashauri ya Manispaa ya Iringa, Kilolo Dc na Mufindi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mara baada ya kumalisha ukaguzi huo ilitoa mapendekezo kwa Serikali ya Mkoa wa Iringa.

Attachments

  • Snapinst.app_video_AQOVbXH1XssLJe5NpjC-48eOTLA9H_JlQK0Npba2KS8p4wmw_Y8qucYBnUgkC1FUHBJU63Tnqx_...mp4
    41 MB
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tayari imefanya ziara yake mkoani Iringa kuanzia 16 march na kutamatika 18 march 2025 ikikagua miradi yenye hoja za kikaguzi katika Halmshauri tatu za mkoa wa iringa ikiwemo, Halamashauri ya Manispaa ya Iringa, Kilolo Dc na Mufindi.

Mara baada ya kumalisha ukaguzi huo ilitoa mapendekezo kwa Serikali ya Mkoa wa Iringa.
 
Huyu Mdee mwenyewe hastahili kunyooshea wengine vidole kwasababu ubunge wake una mazingira ya uhalifu
 
Back
Top Bottom