Kamati ya Bunge na Uamuzi holela

Kamati ya Bunge na Uamuzi holela

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
11,556
Reaction score
7,106
Nimesikia juzi kupitia vyombo vya habari kuwa kuna kamati ya bunge imeamuru jenereta inayotumiwa na mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Muhando itolewe.

Je kwa kumpora hyo jenereta ndo tutakuwa tumemaliza tatizo la mgao unaoendelea nchini?

Yeye(Mhando) ndo alikuwa anatumia umeme mwingi sana kiasi kwamba hata mgao ukawa mkali?

Je hlo jenereta walilochukua kwa Muhando limetoa msaada gani katka kukomesha mgao wa umeme?

Kuna kitu gan kipo nyuma ya maamuzi hayo ya kamati? Je ni chuki binafsi au hila za kukomoana?

Je matatizo ya mgao yameletwa na Muhando,Tanesco au serikali kwa ujumla?
Kwa nini wasichukue jenereta anayotumia Ngeleja au ile anayotumia Malima?

Karibuni tujadili kwa pamoja.
 
Haya maamuzi hata mimi yamenishangaza sana! Ingekuwa kila idara tunafanya maamuzi kama haya sijui tungekuwa wapi sasa hivi. Kama ile ni incentive ambayo ipo kwenye package yake basi hata hao watakaoenda kuizima ni lazima watageukia njiani kwa aibu. Tatizo hili la umeme ni kubwa kuliko Eng. Mhando mwenyewe. Hawa wanasiasa, huko Serikalini ndio wametufikisha hapa.

Ndiyo haya sasa ninayosema

AGIZO la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mashirika ya Umma (POAC), limegonga mwamba baada ya jenereta lililopo nyumbani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, kutoondolewa kama ilivyoagizwa.

Uchunguzi wa Mwananchi umebainisha kuwa jenereta hilo halijaondolewa na hakuna dalili zozote za utekelezaji wa amri hiyo

Chanzo: Mwananchi, Washindwa kutekeleza agizo la kamati
 
Nimesikia juzi kupitia vyombo vya habari kuwa kuna kamati ya bunge imeamuru jenereta inayotumiwa na mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Muhando itolewe.

Je kwa kumpora hyo jenereta ndo tutakuwa tumemaliza tatizo la mgao unaoendelea nchini?

Yeye(Mhando) ndo alikuwa anatumia umeme mwingi sana kiasi kwamba hata mgao ukawa mkali?

Je hlo jenereta walilochukua kwa Muhando limetoa msaada gani katka kukomesha mgao wa umeme?

Kuna kitu gan kipo nyuma ya maamuzi hayo ya kamati? Je ni chuki binafsi au hila za kukomoana?

Je matatizo ya mgao yameletwa na Muhando,Tanesco au serikali kwa ujumla?
Kwa nini wasichukue jenereta anayotumia Ngeleja au ile anayotumia Malima?

Karibuni tujadili kwa pamoja.

akili zako haziko sawa sawa ilichokifanya kamati ni kumuonyesha huyo DG wa TANESCO kuwa watanzania hawana mbadala umeme unapokatika, hawana huduma ya jenereta kama yeye anavyopata tena kwa malipo ya watanzania , ni jambo la msingi Kamati imeamua ili Ndg mhando naye anunue mafuta ya jenereta lake na sio TANESCO wamlipie, kwako unaweza usione mantiki ya uamuzi huu, ila waulize wasomi waliobobea kwenye masuala ya corporate good gorvanance watakuambia.
 
NI maamuzi dhalili ya mchanganyiko na hasira, visasi, udini, woga na kupenda sifa. ZItto hajawahi kumpenda Mhando hilo liko wazi kabisa. Angekuwa siriasi angechukua Jenerata la Ngeleja au Malima. Kwa maaana nyingine hawa mawaziri ni maji marefu kwa Zitto (au ni washkaji zake Rostam.....connection).

NI Kamuzu Banda ndo alikuwa anaweza enzi ziiile za Malawi..umeme ukikatika DG wa umeme umepoteza kazi, alifanya vile kwa vile uhakika wa umeme ulikuwa 100%.
 
Mimi binafsi naunga mkono hoja ya kulichukua! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza kuona halina madhara lakini ukweli ni kwamba tukiruhusu mfumo huu ni hatari sana. Hebu tujaribu kuangalia gharama za uendeshaji wa majenereta haya yaani la mkurugenzi na vigogo wenzake wa shirika na mameneja wa mikoa na wilaya yanatugharimu shilingi ngapi kwa mwaka? Ukumbuke haya yote yanagharamiwa na kodi zetu za tozo la huduma. Hivi ni kweli mtndaji wa kata anayehudumia wananchi kilasiku bila umeme hastahili kuwa na jenereta? Je ni vituo vingapi vya afya havina umeme? Sasa inakuwaje mtu mmoja tu kwa sababu ya cheo chake apewe mshara mkubwa, gari na mafuta bure, dereva, nyumba, na jenereta bure. Sasa mshahara anapewa wa nini? Liondolewe haraka anunue lake ili ajue na bei za mafuta
 
Haohao wasomi ndo wamelfksha taifa katika mgao wa umeme na hali ngumu tulionayo.

Kumpora hlo jenereta Eng. Mhando kumepunguza vp tatizo la mgao? Je deni wanalodaiwa lmepungua walivyoamuru hlo jenereta lichukuliwe?

Ni wakurugenzi wangapi wa mashirika ambayo yana matatzo wanatumia mali za umma? Je ni Mhando pekee? Nini kmefanyika kwa hao wengne?

Je Ngeleja hana jenereta? Na Malima je? Zmetolewa?
 
Mimi binafsi naunga mkono hoja ya kulichukua! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza kuona halina madhara lakini ukweli ni kwamba tukiruhusu mfumo huu ni hatari sana. Hebu tujaribu kuangalia gharama za uendeshaji wa majenereta haya yaani la mkurugenzi na vigogo wenzake wa shirika na mameneja wa mikoa na wilaya yanatugharimu shilingi ngapi kwa mwaka? Ukumbuke haya yote yanagharamiwa na kodi zetu za tozo la huduma. Hivi ni kweli mtndaji wa kata anayehudumia wananchi kilasiku bila umeme hastahili kuwa na jenereta? Je ni vituo vingapi vya afya havina umeme? Sasa inakuwaje mtu mmoja tu kwa sababu ya cheo chake apewe mshara mkubwa, gari na mafuta bure, dereva, nyumba, na jenereta bure. Sasa mshahara anapewa wa nini? Liondolewe haraka anunue lake ili ajue na bei za mafuta

Swali langu ni je ni impact gan zatajtokeza baada ya kumpora hlo jenereta? Mgao utapungua? okay wamelchukua, amenunua la kwake, what is next? Bdo kwake umeme utakuwepo. Je atakuwa na wazo la kudeal na mgao?
 
Bora wamelichukua ili tulingane si anapata mshahara? na aingie gharama za kupata umeme kwa jasho lake na si kodi yangu na la Ngeleja na Malima pia naomba wachukue ili kama ni machungu tuyapate wote jamani.
 
Kama wameanza kwa Mhando na wengine wafuatie isiwe kwa mmoja tu na huu utaratibu wa kuwawekea viongozi majenereta ufe ikiwa ni pamoja na kuondoa magari ya uma yanayohudumia wake zao kwa shughuli binafsi, kuna mianya mingi sana kodi zetu zinavuja ndio maana hatuwezi kupiga hatua kama hatutaithibiti.
 
Haohao wasomi ndo wamelfksha taifa katika mgao wa umeme na hali ngumu tulionayo.

Kumpora hlo jenereta Eng. Mhando kumepunguza vp tatizo la mgao? Je deni wanalodaiwa lmepungua walivyoamuru hlo jenereta lichukuliwe?

Ni wakurugenzi wangapi wa mashirika ambayo yana matatzo wanatumia mali za umma? Je ni Mhando pekee? Nini
kmefanyika kwa hao wengne?

mtei mimi binafsi nakuheshimu sana kwa kuwa kijana mwenye mwelekeo wa uzalendo lakini naomba niendelee kukufahamisha kuwa jenereta ya mhando iondolewe , matatizo ya umeme sio lazima yatokane na mgawo muda mwingine ni kutowajibika kwa watumishi wa tanesco na kusababisha mamia ya watanzania kupata taabu za kutosha, hivyo basi mhando aonje machungu kiasi ya uzembe wa watumishi wa TANESCO
 
NI maamuzi dhalili ya mchanganyiko na hasira, visasi, udini, woga na kupenda sifa. ZItto hajawahi kumpenda Mhando hilo liko wazi kabisa. Angekuwa siriasi angechukua Jenerata la Ngeleja au Malima. Kwa maaana nyingine hawa mawaziri ni maji marefu kwa Zitto (au ni washkaji zake Rostam.....connection).

NI Kamuzu Banda ndo alikuwa anaweza enzi ziiile za Malawi..umeme ukikatika DG wa umeme umepoteza kazi, alifanya vile kwa vile uhakika wa umeme ulikuwa 100%.

Si vyema mtu mzalendo kuwa mbinafisi is na kutetea hoja ya ufisadi.katika package ya motisha ya tanesco hakuna mahala ambapo wakurungezi wakuu wanapashwa kulipiwa majenereta wala mafuta ya kuyaendesha.kama inafanyika hivyo ni kinyume.Kama ni kinyume kwanini isirekebishwe?kamati ya bunge kuamuru hivyo ni namna ya kurekebisha maamuzi yasiyo sahihi.Pia ikumbukwe kuwa tanesco inapata hasara ya mapatao ya ke kwa tshs 64 bil kwa mwaka .Je kama inapata hasara inatakiwa kupunguza ghrama za uendeshaji.Hii ni pamoja na kuruhusu wakurungezi wakuu kulipiwa majenereta na mafuta yeke.jamani lazima tukubari utawala bora.
 
Nimesikia juzi kupitia vyombo vya habari kuwa kuna kamati ya bunge imeamuru jenereta inayotumiwa na mkurugenzi wa Tanesco Ndugu Muhando itolewe.

Je kwa kumpora hyo jenereta ndo tutakuwa tumemaliza tatizo la mgao unaoendelea nchini?

Yeye(Mhando) ndo alikuwa anatumia umeme mwingi sana kiasi kwamba hata mgao ukawa mkali?

Je hlo jenereta walilochukua kwa Muhando limetoa msaada gani katka kukomesha mgao wa umeme?

Kuna kitu gan kipo nyuma ya maamuzi hayo ya kamati? Je ni chuki binafsi au hila za kukomoana?

Je matatizo ya mgao yameletwa na Muhando,Tanesco au serikali kwa ujumla?
Kwa nini wasichukue jenereta anayotumia Ngeleja au ile anayotumia Malima?

Karibuni tujadili kwa pamoja.

Kwani hiyo kamati ilitoa sababu zipi?

Swali langu ni je ni impact gan zatajtokeza baada ya kumpora hlo jenereta? Mgao utapungua? okay wamelchukua, amenunua la kwake, what is next? Bdo kwake umeme utakuwepo. Je atakuwa na wazo la kudeal na mgao?

u mean akiwa na umeme hatakua na wazo la kudili na mgao,hata kama atanunua la kwake?akoding to ur last sentensi!
 
Kama ameshindwa kazi AONDOLEWE!! Mnachukua Generator then what?
 
Ni mwanzo mzuri wanachotakiwa sasa kufanya ni kupitisha sheria inayokataza serikali kulipia wafanyakzi wake matibabu kwenye hospitali binafsi na hata nje ya nchi.
Baada ya hapo pia iwazuie watendaji wake wakuu kusomesha watoto wao kwa gharama za serikali kwenye shule binafsi ama nje ya nchi. Na kuwalazimisha kujiuzuru mawaziri ambao hawatumie huduma zinazotolewa na serikali (shule-hata kama watalipa wao, matibabu ya familia zao-hata kama wanajilipia)
Tukifanya hivyo nina uhakika huduma za jamii zitaboreshwa haraka
 
Nimesikia juzi kupitia vyombo vya habari kuwa kuna kamati
ya bunge imeamuru jenereta inayotumiwa na mkurugenzi wa Tanesco Ndugu
Muhando itolewe.
Je kwa kumpora hyo jenereta ndo tutakuwa tumemaliza tatizo la mgao
unaoendelea nchini?
Yeye(Mhando) ndo alikuwa anatumia umeme mwingi sana kiasi kwamba hata
mgao ukawa mkali?
Je hlo jenereta walilochukua kwa Muhando limetoa msaada gani katka
kukomesha mgao wa umeme?
Kuna kitu gan kipo nyuma ya maamuzi hayo ya kamati? Je ni chuki binafsi
au hila za kukomoana?
Je matatizo ya mgao yameletwa na Muhando,Tanesco au serikali kwa
ujumla?
Kwa nini wasichukue jenereta anayotumia Ngeleja au ile anayotumia
Malima?
Karibuni tujadili kwa pamoja.

ni jazba tu
 
Kumnyanganya Genereta ni sawa kabisa ili aone adha yas kukosa umeme. Unaelewa ni kwa nini Pilot wa ndege za kiraia haruhusiwi kuwa na mwavuli ya kuokoa maisha (Parachute?). Ili atambue kwamba asipokuwa makini yeye pamoja na abiria wake wote kwa pamoja wataangamia.
 
akili zako haziko sawa sawa ilichokifanya kamati ni kumuonyesha huyo DG wa TANESCO kuwa watanzania hawana mbadala umeme unapokatika, hawana huduma ya jenereta kama yeye anavyopata tena kwa malipo ya watanzania , ni jambo la msingi Kamati imeamua ili Ndg mhando naye anunue mafuta ya jenereta lake na sio TANESCO wamlipie, kwako unaweza usione mantiki ya uamuzi huu, ila waulize wasomi waliobobea kwenye masuala ya corporate good gorvanance watakuambia.
Kama ni Good Govenance kwa nini wasianzie kwa watunga sera? Eng. Mhando ni Agent tu wa kutekeleza sera zao.
 
Back
Top Bottom