Kamati ya Al Azhar na kuunda Qur’an standard (1924)

Tatizo waislam ni maamuma, hawana elimu, utakuta wazee wamejazana misikitini huku hawaujui vema uislam wao, ni wabishi hata wakielezwa ukweli. Labda gen z wanaweza kubadilika na kuachana na upuuzi wa dini ya kiislam na kuwa huru kifikra
Huyo jamaako kishakimbia,nimemuonesha uwongo wake,hiyo Hadith ya uthman kuchoma Quran na kitengeneza nyingine ni uwongo, Hadith hiyo ni hii
Sahih Bukhari Hadiths Sahih Bukhari Hadiths

Haisemi anachodai
 
Zile Aya za kunyonyesha watu wazima na
Zile za kupiga mawe wazinzi ndio zilizochomwa

Hivi nani alimwamuru Othman aandike Qurani kwa kufuta Aya halali alizo letewa Muhamadi ?
 
Uongo upi Mzee ?

Kwamba Uthman hakuchoma Quran?View attachment 3541898
Hiyo hadithi si ndiyo ileile ambayo nimekuzodoa huko juu na kuonesha uwongo wako
Sahih al-Bukhari 4987 - Virtues of the Qur'an - كتاب فضائل القرآن - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم) Sahih al-Bukhari 4987 - Virtues of the Qur'an - كتاب فضائل القرآن - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)

Kama humjui hafsa ni nani basi ni mke wa mtume binti wa ummar swahaba na khalifa wa pili baada ya uthman,hafsa alikua msomi na hafidhi Quran,akiwa na nakala halisi ya Quran tangu mtume
 

Attachments

  • Screenshot_2026-02-09-21-17-46-290.jpg
    151.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_2026-02-09-21-17-30-806.jpg
    172.5 KB · Views: 6
Sielewi mpaka sasa unachobishia ni kipi

Uthman alichoma moto Quran au hakuchoma?
 
Sielewi mpaka sasa unachobishia ni kipi

Uthman alichoma moto Quran au hakuchoma?
Hakuchoma moto Quran kwa mujibu wa hiyo hadith uliyotoa,hiyo hadith inaonesha watu wa Iraq na sham/levant,walitamka 'Quran' visivyo, ndiyo huyo jamaa akaja kumuambia mkuu wa dola
Mkuu wa dola akaomba nakala ya Quran toka kwa mke wa mtume,hafsa(hapa hoja yako ya Quran kutowepo hiyo Karne ya 7 inakufa),akawaagiza waandishi wanakili nakala kadhaa,kisha zikatumwa huko,na maelezo zaidi no kuwa uthman alipeleka watu wa kufundisha namna ya kutamka maneno ya Quran kama inavyopaswa
Nje ya Quran aliyopeleka uthman hapakua na Quran nyingine, Quranic material or whatever siyo Quran,zingekua Quran khalifa asingepeleka nakala zake
 
Hadith ni hiyo hiyo ,sijui unabishia nini

Uthman alichoma Quran

Sielewi mpaka sasa unachobishia ni kipiView attachment 3541921
Uwongo,siyo his own version,alichukua nakala kwa mke wa mtume,utaitaje ni version ya uthman,Bora hata angetoa toka library yake mngekua na walau haki ya kusema version yake, acheni kulazimisha vitu
 
Hakuchoma
Hudhaifa alisema:
“When the people differed in the Qur’an, Uthman gathered a committee of Qur’an reciters, compiled the Qur’an in one dialect, and ordered that all other copies that differed from it be burned.”
(Reference: Ibn Abi Dawud, Kitab al-Masahif, Hadith 3157)

Tafsiri Kiswahili

“Watu walipogawanyika katika usomaji wa Qur’an, Uthman aliunda kamati ya wasomaji wa Qur’an, akakusanya Qur’an katika lahaja moja, na akaagiza nakala nyingine zote zinazotofautiana zichomwe.”
 
Nilitegemea historia ya kurasimishwa Quran moja ingeanza na Uthman ibn Affan
 
Uwongo,siyo his own version,alichukua nakala kwa mke wa mtume,utaitaje ni version ya uthman,Bora hata angetoa toka library yake mngekua na walau haki ya kusema version yake, acheni kulazimisha vitu
Unaweza kunionesha popote pale Leo manuscript ya karne ya 7?
 
Unaweza kunionesha popote pale Leo manuscript ya karne ya 7?
Una akili timamu?!..sisi wenye Quran tunakwambia Quran hii ndiyo ileile aliyoacha mtume,nyaraka za kihistoria ikiwemo Hadith ya bukhari uliyotoa imeonesha mke wa mtume alikua na nakala iliyotumika kutoa kopi na kusambaza Iraq na levant, halafu bado unauliza Quran ya Karne ya Saba!?
Nilikuomba unioneshe bible ya Karne ya Saba ukaonesha kurasa chakavu z ukadai ni kitabu cha bible Karne ya Saba
 
Nilitegemea historia ya kurasimishwa Quran moja ingeanza na Uthman ibn Affan
Quran rasmi ilikuwepo kabla ya uthman, hadithi ya bukhari aliyotoa inaonesha uthman anaazima nakala ya Quran toka kwa mke wa mtume hafsa Ili atoe nakala nyingi atume sehemu tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…