TAARIFA ikufikie popote ulipo kwamba Kama Kuu ya CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania inakutana Mjini Kigoma kwenye ofisi ya Kisiasa ya Kanda ya Magharibi
View attachment 3619012View attachment 3619013View attachment 3619014View attachment 3619015
USIONDOKE JF KWA TAARIFA KAMILI
Mwambie Makamu Heche nasi tumepiga kambi karibu na nyumbani kwake hapa Majengi, Nyegezi, Jijini Mwanza. Kitanuja kwa wengine na kwake kitanuka!
AmenMungu ibariki CHADEMA