Nikweli kwa Sasa nikama ifuatavyo:- 1. Wenyeviti wa jumuia na makatibu wao UWT,UVCCM, WAZAZI. 2. Wenyeviti wa mitaa, vijiji na wajumbe wao, 3. Madiwani na familia zao. Kwa wananchi wengine ni wa khanga, chupa za Chai na T-shirts hao ndo waimba mapambio
ECCM ina wanachama mil 8 tu, wengi wakiwa familia za viongozi