Mkuu umesema kweli hawa jamaa siwaelewi wametaka ajiuzulu kafanya kama walivyotaka sasa wanamuita aje kufanya nini na kwa nini isiwaite waliogoma wawalazimishe?Hawana la maana hao! Magamba yamegoma kutoka sasa hawajui cha kufanya. Badala ya kuwaita waliogoma, wanamwita aliyetoka. Upuuzi mtupu!
Hahahaha!Tunamwomba mkaanga sumu Nape athibitishe kama magamba yanabandikwa tena,sijuhi ni kwa solotepu ama supa gluu
Wengi tuko mbali, tunaomba taarifa nini kimejiri ktk kikao cha kamati kuu (CC) ya CCM, miongoni mwa hadidu rejea:
1. Jairo
2. Kujiuzulu kwa Rostam
3. Umeme
4. Sitta na wenzie kujiunga na CCJ
5. Mafisadi waliobaki afta rostam azizi.
6. Tathimini ya hali ya Siasa ya chama (ccm) ndani ya bunge etc.
Tuvute subra!