Kamati kuu ya CCM haina furaha


mahufuli ndio nani?
 
Hauna fukuto lolote
Naona unatetea tu hata kitu kama hakina mantiki yoyote, wee umo tuu..
Kuna fursa naona uliitegemea kwenye utawala huu halafu ndio umeikosa sasa...
Utaishia kujikomba komba hapo Lumumba mpaka siku unavalishwa sanda...
Hopeless kabisa.
 
Hata alichosema Nape uzi ni kama kumponda Magufuli na 'hapa kazi tu'
alisema kama wafanyakazi hawapewi vifaa vya kazi huwezi kusema tu hapa kazi tu

Mkuu The boss umewahi ona wapi kinyago uchonge mwenyewe halafu kikutishe? CC ya ccm haiwezi kutishwa na kinyago chake yenyewe.
 
Mkuu The boss umewahi ona wapi kinyago uchonge mwenyewe halafu kikutishe? CC ya ccm haiwezi kutishwa na kinyago chake yenyewe.
hapo sasa yaani mtu huwezi kuongoza kwa amani kama kuna wanao kupumulia kisogoni another lost decade to come
 
nani? tafadhali jitemee mate kitovuni!
 

Unalosema ni kweli. Rais ana nguvu sana hata hivyo siyo wote wanachukia JPM. Wengine watakua wanafurahia hii ngoma maana inamrudi mwenyekiti wa chama. Ukumbuke kamati kuu wengi walikuwaa team Lowasa na hawakupendezwa na aliyofanya mwenyekiti wao.
 
five years only enough for Mh.Magu! ! we re going to see amazing actions.
 
kuna taarifa mwezi huu makusanyo ni trillioni moja na billioni 300, just imagine mzee wa msoga alikuwa anatamba kukusanya bilioni 900, kumbe anatupiga zaidi ya nusu trilioni kila mwezi, mlafi mkubwa naomba tezi dume lifanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…