Kamati Kuu CHADEMA kukutana leo

Vyema Sana, Kamati Kuu tunasubiri maamuzi yenu, sio ya wezi waliobaki Dodoma
 
Hawa nao wana jambo gani la maana la kujadili na hicho kijisaccoss chao?
 
mkuu tunakutegemea sana , usituache solemba tu .
 
Siasa za matukio,bahati mbaya safari hii tukio la bunge limetokea wakati mbaya, Watanzania macho na masikio yao yapo Dodoma.

Wakati Watanzania saizi story ni nani na nani wanaingia tano bora kesho alafu wewe unazungumzia issue ya bunge?bad timing!subirini tukio lingine litokee,bahati mbaya matukio ndio yanaishia hivyo..
 
Mpaka sasa hivi saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki toka saa 3 asubuhi bado hawajamaliza kikao kitu gani cha maana wanachoongea maandamano.
 
CDM? Wanajadili lipi! aibu hawana jipya kama hawana umimi waruhusu mchakato huru wa kugombea nafasi ya urais: TEAM WAZALENDO
 
hawazi kuwataja kwa sbabu sura zote za kamati kuu zinatoka kilimanjaro cdm ni adui kwa watanazania
 
kinakaa kwajili ya kupitisha wakope kwa mbowe baada ya uchaguzi arudishe bl 5 wakati amekipa ml 10
 
Mpaka sasa hivi saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki toka saa 3 asubuhi bado hawajamaliza kikao kitu gani cha maana wanachoongea maandamano.

Per day imeongezeka pale Lumumba! Hongera bwana RITZ!
 
Nakerwa sana na tabia ya kususia vikao sjui tuliwachaguwa kukimbia vikao au kutusemea wananchi, ni wapaze sauti kuliko ili tuwasikie kuliko kukimbia kimbia kila siku.

Labda hujui, kususia vikao, migomo, maandamano ni uwakilishi hasa pale ambapo wengine wanatumia wingi wao kulazimisha maamuzi yasio na maslahi ya Taifa. Kawashauri wenzio; 'Wingi unaofuata Chama kwanza haufai'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…