Kamati kuu CHADEMA kukutana kikao cha dharura Dar es Salaam

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), itakutana tarehe 22, Machi mwaka huu katika kikao cha dharura cha siku moja jijini Dar es Salaam.

Pamoja na agenda nyingine, Kamati Kuu ya Chama chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, itajadili mwenendo wa nchi kwa sasa.

Imetolewa leo Jumanne, Machi 21, 2017 na;

Tumaini Makene

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
 
ujinga tu.

chama cha matukio
Waafrika wengi wana laana na wazito kujifunza kutokana na historia....

Milo duni, unyafuzi na mazingira machafu ya makuzi yao yamewafanya kuwa na mitindio ya ubongo kiasi cha kuwaza ngono na kula tu... Kila kitu kwao huwaza kwanza tumbo na ngono!!

Akina Nyerere walioanzisha harakati za kumwondoa mkoloni wengi waliwabeza, wakawakebehi wengine kama nyani waliopo hapa leo wakasema hatoweza pambana na dola yenye risasi na jeshi....
Mandela katikati ya utawala dhalimu uliompeleka jela miaka zaidi ya 20 wapo waliombeza na kumlaumu kwa kucheza na dola na wengine kuona anapoteza muda!!

Wapo nyani walioamini risasi na dola alizokuwanazo Gadafi na Hosni Mubarak zingewaweka pale milele ikawa tofauti!!

Na wewe endelea kuamini ktk ving'ora na kudharau wapambanaji ila kama ilivyo kawaida yenu ipo siku mtabadili kauli zenu vinyaa ninyi.

Uchwara wa huyu dikteta una mwisho.
 
Upuuuzi@@!!! Chama kisicho na ajenda chama cha matukio ya misiba nk
Haaahaaa
 
wapambanaji
Wako wapi hao na kwa majina ni akina nani? Kwenye vyeo vinavvyogawiwa kwa ma-boy and ma-girl friends, baba wakwe na wakwe zao, watoto na mabinti zao kuna wapambanaji humo? Nadhani Watanznia siyo wajinga.
 
Waafrika wengi wana laana na wazito kujifunza kutokana na historia....

Milo duni, unyafuzi na mazingira machafu ya makuzi yao yamewafanya kuwa na mitindio ya ubongo kiasi cha kuwaza ngono na kula tu... Kila kitu kwao huwaza kwanza tumbo na ngono!!

Akina Nyerere walioanzisha harakati za kumwondoa mkoloni wengi waliwabeza, wakawakebehi wengine kama nyani waliopo hapa leo wakasema hatoweza pambana na dola yenye risasi na jeshi....
Mandela katikati ya utawala dhalimu uliompeleka jela miaka zaidi ya 20 wapo waliombeza na kumlaumu kwa kucheza na dola na wengine kuona anapoteza muda!!

Wapo nyani walioamini risasi na dola alizokuwanazo Gadafi na Hosni Mubarak zingewaweka pale milele ikawa tofauti!!

Na wewe endelea kuamini ktk ving'ora na kudharau wapambanaji ila kama ilivyo kawaida yenu ipo siku mtabadili kauli zenu vinyaa ninyi.

Uchwara wa huyu dikteta una mwisho.
Kwani ukawa wanagombea ukombozi kutoka dikteta uchwara au wanagombea madaraka? Kwa sababu hata wakati wa kikwete mlisema hivyo hivyo je kikwete nae alikuwa dikteta uchwara? Mkapa nae alikuwa nani? Au dikteta uchwara ni ccm?
 
Waafrika wengi wana laana na wazito kujifunza kutokana na historia....

Milo duni, unyafuzi na mazingira machafu ya makuzi yao yamewafanya kuwa na mitindio ya ubongo kiasi cha kuwaza ngono na kula tu... Kila kitu kwao huwaza kwanza tumbo na ngono!!

Akina Nyerere walioanzisha harakati za kumwondoa mkoloni wengi waliwabeza, wakawakebehi wengine kama nyani waliopo hapa leo wakasema hatoweza pambana na dola yenye risasi na jeshi....
Mandela katikati ya utawala dhalimu uliompeleka jela miaka zaidi ya 20 wapo waliombeza na kumlaumu kwa kucheza na dola na wengine kuona anapoteza muda!!

Wapo nyani walioamini risasi na dola alizokuwanazo Gadafi na Hosni Mubarak zingewaweka pale milele ikawa tofauti!!

Na wewe endelea kuamini ktk ving'ora na kudharau wapambanaji ila kama ilivyo kawaida yenu ipo siku mtabadili kauli zenu vinyaa ninyi.

Uchwara wa huyu dikteta una mwisho.
Umenichekesha sana mkuu mpaka mke wangu mdogo kaamka..!
Eti wanawaza ngono na kula tu
 
Eeh wambie hao
 
Back
Top Bottom