Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,248
Boya sanaaaAlafu bado eti yupo kazini 😂
Boya sanaaaAlafu bado eti yupo kazini 😂
Hilo ndo wazo. Kwa act ya zitto wameingia choo Cha kike. Zitto aaminiki hata kidogo. Ni mzee wa fursa.Wanzazibari wasajili chama kipya tu asubuhi na mapema. ACT siyo.
Dr Slaa amepigania chama.. Mbowe amepigania tumboPesa za escrow zlikuwa ni za umma au za bnafsi? View attachment 1859998
ZITTTO HIZI SIASA UCHWARA ZIMESHAPITWA NA WAKATI KWA SABABU KUANZIA MGOMBEA WENU HADI HAPA HAKUNA HOJA YA MSINGI MNAYAOSIMAMIA. HATA HIZI TAKWIMU SIDHANI KAMA ZINA UKWELI WOWOTE MNATAFUTA MBINU ZA KULETA USUMBUFU KWA WANANCHI TUKikao cha dharura kimeitishwa leo na kitafanyika kujadili kitu cha kufanya huko pembaView attachment 1859946
Swali la kitoto sana, kwani Katiba iliyopo huwa inaenda kupiga kura?Katiba ndo inachagua au watu ndo wanachagua?
Kwa hiyo hiyo katiba itakuja kuwapa ushindi au kuwaibia kura?