Kamata mwizi

Kamata mwizi

kau

Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
80
Reaction score
16
Habar zenu wana jamiiii...
Naomba kufaham ni software gani ambayo unaweza install kwenye simu na kuweza kapata sms na location za mpenz wako bila ya yy kujua....?
 
Habar zenu wana jamiiii...
Naomba kufaham ni software gani ambayo unaweza install kwenye simu na kuweza kapata sms na location za mpenz wako bila ya yy kujua....?

Hahaaa mkuu kuna kasoftware huwa nakatumia kanaitwa ACHA WIVU haka ni noma unafix namba yake tuu...kila titu pooaaaa...
 
Acha wivu kijana au kama unahisi demu wako si mwaminifu ni bora kuachana naye kwa sababu software haitakusaidia kitu
 
Back
Top Bottom