Kamata mkwanja wa chap chap funga mbuzi ndani ya miez 6 tu hutalalama pesa ngumu

Me Kwa Uzoefu Wangu wa hao Wanyama Nasema Bora Ufuge Kuanzia Mbuzi 50 Majike Madume 20 Jumla = 70 Na Mfanyakazi Uwe Unamlipa Vizuri Uache Ubahili
Soko Upate haswa La Uhakika Maeneo ya Dar

Ukiingia Kichwa Kichwa Inakula Kwako Mbuzi Usifuge 10 itakula Kwako
 
Mashamba kwaajili ya kilimo bei gani mkuu kwa hekari kwa hko mtwara. Hasa korosho
 
Mashamba kwaajili ya kilimo bei gani mkuu kwa hekari kwa hko mtwara. Hasa korosho
mkuu sio mtwara ni lindi wilayani nachingwea,kuhusu shamba mkuu hutegemea na uhalisia wa mikorosho yenyewe yaani ni mingi kiasi gani?umri wa miti pia yaani mikinda na mizee na pia inautofauti wake.man lakini mkuu ata laki nne na kuemdelea wapata
 
Sawa sawa
 
Bado upo huko mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…