Kamata LIKES za ODM!!!

Hana na hatakua nayo babu lol!

Er? Mpe hongera zake eti. Ila utafiti unaonyesha mme anapokuwa hana nyumba ndogo, basi ni LAZIMA mke awe na kidumu.....

Come this way.......
 
Er? Mpe hongera zake eti. Ila utafiti unaonyesha mme anapokuwa hana nyumba ndogo, basi ni LAZIMA mke awe na kidumu.....

Come this way.......

Babu hebu nidadabulie maana ya nyumba ndogo hili linanitatiza sana! Kwani hiyo nyumba ndogo unaingia umechuchumaa au umeinama? Na nyumba kubwa ikoje?
 
Babu hebu nidadabulie maana ya nyumba ndogo hili linanitatiza sana! Kwani hiyo nyumba ndogo unaingia umechuchumaa au umeinama? Na nyumba kubwa ikoje?
Ahsante sana ndugu msikilizaji ai miin msomaji wangu.

Nyumba ndogo ni ile ambayo haina makelele miiingi. We ukiingia unapewa ile kitu roho inapenda. Ukishaipata unafunga virago kuelekea nyumba kubwa. Kule unaambulia misonyo, maneno mengi, mesengenyo na kunyimwa unyumba kwa kisingizio cha uchovu.

Kwa kifupi nyumba ndogo ni suluhisho la matatizo.

Nyumba ndogo hoyeeeeeeeeeeeeee!!
 

Kwa hilo nimekuelewa vizuri.
 
Kwa hilo nimekuelewa vizuri.
Ewaaaa.... sijui niseme na kingine au MODS watanilima ban?

Utafiti umeonyesha nyumba ndogo zinajua kuviringisha viuno vyenye shanga nyingi kuliko nyumba kubwa..... Afu nyumba ndogo zina ushirikiano kwenye kutoa vitu vidogo, vikiwemo vitundu vya upepo kuliko nyumba kubwa zinavyong'ang'ania kutoa vitu vikubwa tu......... Damn

Source: Kioo Kikubwa.
 

duh! Mkuu hii comment yako hii,,dah hv wife anajua wewe ni member humu jamvini kweli?
 

kuna yule memeber anaitwa Nyumba Kubwa,sijui yuko wapi aje adhibitishe hii kauli yako. Madame x uko wapi mwanawane,wake za watu hapa jf mnaokesha kama popo usiku mzima mnachat sijui hata ndoa mnahudumia saa ngapi mko wapi?
 
Mianaume ndivyo tulivyo.
Source: nyani ngabu
 

Majina yako mengi mno! Mara ooh pa upepo, mara marinda, ooh mara indiketa, balibanuna a.k.a dawaa! Loh jamani mbona majina ya heshima ya nyumba ndogo lukuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…