Kamata LIKES za ODM!!!

Natumia kinywaji unachotumia wewe......


Hahahaha........!

Naona umeanza kubadili tabia taratibu. Unatumia kinywaji gani?

Usimwogope kongosho, FYI huwa ananisaidia kwenye kugonganisha vinaniliyu vya wajukuu.

Come this way sasa.....:ballchain:
 
subiri mimi Yenu bar...ndo nshasema ujue....
Ningekuwa sikujui saa hizi nisingekuwa nakatiza hapa Mlimani City kwa speed 120mph..... Yenu paleeeee:suspicious:
 
Rejao atakosa kitu kama hii kweli?

 

Haitakuangusha lazima nikeshe nikiomba ili mchina isikuletee longolongo maana bila wewe maji hayapiti.
 
Yaani sredi nzima nimeambila LIKE mbili tu wakati mimi nimezimimina zaidi ya mia.

Watu wachoyo kama kikojoleo cha Pope.

Hahahaaa jamaniiii ulijuaje kama kichoyo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…