Kuna kamata kamata ya mabasi yanayokwenda mikoani kwa kisingizio cha kuwa Chassis imeungwa sehemu ya nyuma mwishoni, Hii tumeona ikileta usumbufu kwa abiria ambao wameisha kata tiketi tayari kwa safari, halafu Polisi wa usalama barabarani analizuia gari bila sababu za kitaalam.
Naikiri hawa askari wanahitaji kuwa na elimu ya kutosha kuhusu Chassis za magari.
Tumeshuhudia mabasi yenye body za MARCOPOLO ambazo ni za viwango vya kimataifa wakizizuia zisisafiri. Jambo lingine ni ufahamu mdogo walionao wamezuia mabasi mengine yasisafiri kwa madai kuwa ni maroli wakati sio maroli.
Nawashauri Viongozi wa Jeshi la Polisi kuwasiliana na kampuni husika za watengenezaji wa mabasi ili kuondoa usumbufu usiokuwa na msingi.
Ikumbukwe kuwa Mabasi mengi yananunuliwa kwa mikopo mikubwa ya
Ma-BENKI ambayo inahitaji kulipwa bila kukosa, Unapozuia Basi lisisafiri bila sababu za msingi ujue unawaletea wadau wa mabasi matatizo makubwa sana.