BigBang
New Member
- Aug 18, 2013
- 2
- 0
Dili la kuwa mwekezaji kwenye mradi wa mobile app mpya itakayoanza kutumika 01/10/2013 inayoletwa kwenu na Perfect Internet, mtandao wa kijamii wa kidunia wenye makao yake makuu Marekani iko hewani. Kamata dili fasta kwa sababu dili hii inayeyuka tarehe hiyo ya ufunguzi rasmi wa hiyo mobile app.
Dili ikoje?
Unajiunga bure sasa kwamba utaitumia hiyo mobile app itakapokuwa tayari hapo 01/10/2013. Ukishajiunga unaalika watu wengine wajiunge. Watu utakaowaalka na wale watakaoalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini mpaka hapo 01/10/2013 ambao wataitumia hiyo mobile app watakuwa ndio hisa yako kwenye mradi huu.
Unaitumia aje hiyo mobile app?
Unaitumia kwa kupata huduma za bure kwa mfano kupata habari unazizipendelea wewe ambazo utaifahamisha hiyo mobile app na yenyewe itakuwa inakupatia habari hizo kupitia kwenye simu yako; kupata huduma ya Taxi iliyo karibu yako; kuweza kununua vitu kupitia hiyo mobile app kwa bei ya chini kuliko utakavyoweza kununua kama utakwenda mwenyewe kwa muuzaji kununua; n.k.
Utalipwa kiasi gani?
Malipo yatategemea idadi ya watu uliowaalika na faida itakayopatikana. Asilimia 20 ya faida ndiyo itakayogawiwa kwa wanachama walioalika watu kuchangamkia fursa hii. Asilimia 80 itaenda kwa Perfect Internet ambayo ndiyo wamiliki wa mradi huu. Matarajio ni kwamba faida itaanza kupatikana ndani ya mwaka mmoja tangu ufunguzi wa mradi huu hivyo watakaochangamkia dili hii waelewe kwamba hutalipwa mara tu mradi utakapoanza kwani wewe huwi mwajiriwa kwenye mradi huu bali ni mwekezaji na mwekezaji anapata kipato chake kutoka kwenye faida.
Utalipwaje?
Utalipwa ama kwa kupitia account yako ya benki au kutumia Debit Cards/Master Cards za kimataifa za Perfect Internet ambapo zitakuwezesha kutoa hela kutoka kwenye ATM yoyote ile ambayo ina huduma ya Visa kama vile CRDB, Citibank, n.k.
Kama unaona hiyo dili haijatulia, hii je?
Ukishajiunga, utaweza kuangalia au kushiriki kwenye mashindano ya kwanza ya aina yake ya bure ya mziki wa vibao vipya duniani pamoja na kuangalia television ya bure ya burudani na habari ya Perfect Internet ambayo kwa sasa imeanza kuonyesha Top 10 ya vibao vilivyoingia kwenye mashindano haya. Mashindano haya yameanza tangu July 2013 na kila mwezi washindi wanapatikana kutoka kwenye kila category (male singers, female singers, duos, bands, dancers, instrumentalists). Washindi wa kila mwezi wataingia fainali itakayofanyika Las Vegas Marekani hapo May 2014. Majaji wa mashindano haya ni watazamaji kwa njia ya kupiga kura washindani wawili wanaoshindanishwa kwa wakati husika. Wasanii wataweza kuanza kuuza mziki wao wakati mashindano yanaendelea na asilimia 70 ya bei ya kuuzia italipwa kwa wasanii. Mashindano ya vipaji vingine yataongezwa punde.
Hapo vipi? Kandamiza kiungo hiki mwanawane ujiunge The Perfect App