Uchaguzi 2020 Kamarada Mrisho Gambo apeleka kilio CHADEMA

Mwanayanga haswa huwezi kuhamia Simba. Haiwezekani hao ni mwanasiasa njaa tu hawamini kwenye itikadi ila majimbo yao
Mkuu kila mtu yupo kwaajili ya kuchumia tumbo, hata hao unaowaona Ni machachari na kwamba eti sio wanasiasa njaa, wapo hivyo kwasababu wananufika kwa kiwango kikubwa.Hakuna anaeweza kuendelea kupoteza muda sehemu ambayo haina maslahi.
 
Wanasema CCM mpya lakini mambo yake hayaendani na upya wake,bado wanamambo ya kizamani sana ambayo yalishapitwa na wakati na hayashitui chochote,zaidi ya kutangaza ujinga wa CCM.
 
Hama hama ni ushamba na hauna maana yoyote, Lema ni mshindi Arusha.

whether way you will see it, you need people! watu ndo mtaji wenu, mtu akihama that should be an eye opening, tatizo chama lenu lipo lipo tu! hamjifunzi, hamtaki ushauri, mpaka sasa mmepoteza wanachama wengi. yawezekana kuna wengine ni wanachama wa chadema kabisa lakini bado watapigia kura ccm labda kwa sababu ya uoga wa kuondoka! izi propaganda zenu mtu akihama mnact kama it doesnt matter sasa sjui mnataka wakina nan wawapigie kura
 
Bado mnaona project ya kununua wapinzani inalipa pamoja na majibu mliyopata kutoka kwa watanzania kwa kina lijuakali na katambi?????

Kweli CCM sikio la kufa!😂😂😂🙌

Ndio mwisho wao wa kufikiri Mkuu ,wanataka waonekane kuwa wana pendwa sana na Wananchi.
 
whether way you will see it, you need people! watu ndo mtaji wenu, mtu akihama that should be an eye opening, tatizo chama lenu lipo lipo tu! hamjifunzi, hamtaki ushauri, mpaka sasa mmepoteza wanachama wengi. yawezekana kuna wengine ni wanachama wa chadema kabisa lakini bado watapigia kura ccm labda kwa sababu ya uoga wa kuondoka! izi propaganda zenu mtu akihama mnact kama it doesnt matter sasa sjui mnataka wakina nan wawapigie kura
Jiwe ametumia kodi za maskini kutaka kuuwa upinzani kwa kuwanunua kwa fedha na hongo ya vyeo lakini kumbe ndio kamwaga mbolea ya kumea kwa upinzani na sasa anahaha na hana uhakika wa ushindi kama aliokuwa nao 2015.
 
Kwa hiyo wajumbe wachache waliompitisha mwenyekiti wenu kama mgombea pekee si Watanzania?
Unajua nini maana ya "uwakilishi"?
Ukiambiwa wewe ni kilaza kiwango cha takataka,utabisha?
Elewa mantiki usirukie hoja kama umebanwa na tumbo la kuharisha. Huyo bwana aliongelea kutopitishwa kwa katambi na lijualikali as if ni zoezi lililofanywa na watanzania wote, kiasi cha kutaka kutuonyesha kwamba hawakubaliki kwenye Jamii. Wakati waliowakata ni wajumbe wachache sana tena walio ndani ya chama. Huku nje wapo watu wengi wanaowaunga mkono. Sasa hao wachache huwezi kusema watanzania. Ningemuelewa endapo kina katambi wangegombea ubunge halafu wakakosa. Hapo watanzania wangekua wamefanya maamuzi yao.
 
Gambo hana hadhi ubunge Arusha
huyu anafikiri ubunge ni ukuu wa mkoa unakobebwa na dola hata kama hukubaliki, sasa atamshawishi nani huyo hata mvuto wa kiuongozi hana?!!!! hivi hata kama mpiga kura ni ccm kwel uache kumpa kura Lema ukampe gambo?!!!! hata huyo maguful aliemfukuza kazi si atawashangaa wana arusha hasa ukizingatia Arusha yenyewe ni Jiji! mtu mwenyewe kila akisimama jukwaan namshukuru Rais, sasa anataka ubunge akamshukuru Rais au akamsimamie Rais?!!! au hajui maana ya ubunge ni nini? anazijua kaz za mbunge kweli huyu au anajiendea tu kufurahisha vijiwe vya kahawa?
 
Hivi mtu gani mwenye akili timamu ataamia CCM??? Hao wananunuliwa na hata watoto wadogo wanajua!!!!

Umeongelea wajumbe wa CCM, kwani wao sio watanzania????
Imeandikwa, yeyote atakaemchagua Lowasa akapimwe akili, mchungaji msigwa ukurasa wa iringa mstali wa Chadema.
Baada ya mafilisti kukutana na Lowasa wakamchagua kuwa kiongozi wao na tumaini Lao.
Je mlisha jipima akili nyie mafilisti?
 
Mmmh, wajameni si muandikake kwa chiswahili chetu tu, badala ya chingelesi cha aina hiyo.


pointi yangu kubwa ni unahitaji watu wengi iwezekanavyo! hautakiwi kubagua, haiwezekani unategemea kura za watu alafu useme pumba na mchele, wote ni wapiga kura pumba na mchele wote wanapiga kura
 
Back
Top Bottom