DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Picha mbalimbali zikimuonesha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, akikagua gwaride na kuzungumza na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali katika viwanja vya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Geita, Oktoba 20, 2025.
Ukaguzi huo ni sehemu ya tathmini ya mifumo ya utendaji kazi kwa Askari wa Jeshi la Polisi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Kupitia ukaguzi huo, Kamanda Jongo amewasisitiza Maafisa, Wakaguzi na Askari kuhakikisha wanazingatia weledi na uadilifu katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.