Mkuu nimeogopwa kusutwa nilipoona kwa issa michuzi nikageuza gari sheklango mafuta analipa kampuni nini tatizo..ingawa bado atahisi atuwapendi tunataka kuwekwa wazi nimeuliza hapo kama kweli anaamini aikuwa rushwa aje na stkabadhi inagwa naamini anaweza kutengeneza kama walivyokuwa na vitabu vyeki vya faini
binafsi nimeshaandikiwa faini zaid ya mara tatu alfu sitini,nyingine 40,kwa 20 nikaishia kutoa 5000 bila risiti
sasa hili kidogo nimekaa kujiuliza na nilishwahi kuleta hapa nov 18 saa nne asbh nikauliza hizi risiti zinakwendaga wapi...iweeje umeandikiwa kabisa unaona hapa kifo bora uuamini mungu yuko kuliko kutoamini ayupo ukamkuta ukajuta siku yamwisho ndio maana hivi vi 5000 tunavijazaga kama emergency kwenye sehemu za katikati za gari kulinda familia za mapolisi
sasa kama uamini pita pale tazara jifanye unanunua lamba lamba ama azam koka kola utashangaa kila mmoja ana k itabu akakiunja kama chapati za tandale alafu kichafu ...ujiulize hivi anapokuwandikia alafu alafu anakuwachia zile risiti kama kweli wanapeleka serikalini wanasema panya amekula ama|?????????????????????
Ndio maana nimeshauri usikubali kulipa pesa vituoni vya mabasi nenda polisi hata kama wamefunga paki njoo kesho lipia kuliko kuwanufaisha kuna mpumbavu mmoja alinikamataga mwenge akaniambia twende osterbay nikamwambia sawa akataaka kupanda gari langu wenye kujuana nao anaitwa cha pombe ana machodungu kama amekabwa uume wake ....kumbe ni pombe figo zinakaribia kupasuka..nikamwambia kapande gari la babako sio langu akanitishia kuongeza mashtka nikamwambia siongoki nasubiri ushuke niende ..utakalopanda nitakufwata alikaa na mimi nusu saa akaishiaaa kijana unadharau eeeh hao babazenu wasiwape vichwa ngumu akaishia nenda bwana nkamfyonza nikaanza ,..usipokuwa na adabu wanakuvua na nguo hawa atii....
Ile karatasi ya faini msiwe wajinga someni imeandikwa unaruhusiwa kulipa ndani ya siku saba hii ya kukwambia ama kulazimisha ulipe siku hiyo hiyo hao no matapeli
ona ogopa ondoka -triple "o" ukizijua awakusumbui...wako wengine pale darajani daraja la kawe wamejazana kama nyau weupe wanasimamisha gari ovyo..nikasimamishwa siku moja na mwanaume nikiwa namsubiiri akatoka akenda kusimamisha lingine nikisubiri nikamwona kamwacha jamaa anapaki kaenda kusimamisha lingine aliishia kuangalia namba za gari...keshokutwa yake mwanamke akanisimamisha same place nikamwambia mzima akasema poa akniuliza a,b,c nikamwonyesha akasema safari njema akiwa anataka kuondoka nikamwita nikamwambia majuzi ulikuwa na punguani mmoja mwanaume eehh akasema yukoje nkamwlekeza akasema ndio..nikamwambia uliona gari ilioondoka kwa kuwaachia vumbi ndio hii mwambie awe na heshima siku nyingine bana akacheka kweliiiiiii akasema niachie basi hata ya bia nikamchomolea fungu lake 5,000 nikaanza mpaka leo kama amelogwa hapo darajani kawe anashinda siku nzima na hata sasa niongeavyo yuko hapo wanaomba omba mpaka 1000/= huyu mpinga anatakiwa asikae chumbani kwenye ac azunguke aone vijana wake wanavyoomba omba akae nao ajue tatizo ni nini kutiana hivi aibu badala ya kuwatetea na kuendelea kutia aibu