tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 566
wewe noma sana mkuu, huyu hajui wayahudi ni kina nani, uliona zile wakisirikiana na marekani walimuua generali qassam mkuu ya hii quads ? watu wengine wanaropoka ovyo ovyoIran hana lolote ni kama mwanamke anaetafuta bwana kinguvu... Kama anaweza mziki wa wayahudi basi arushe hata jiwe siku hiyo ndo utajua...ila Punguza mahaba kuna mimba natamani nijue jisnia yako mkuu