Kamanda wa IDF kikosi cha "OZAL" Galilee

Kamanda wa IDF kikosi cha "OZAL" Galilee

Hizbollah kashakiamsha Jana Na juzi Kwa kulipua Mullat Na Galilee Na IDF soldiers wengi tu wamekufa Na kugeuka walemavu.
Pia usisahau Jana Askari 9 Wa IDF on the spot wameuawa Na Hamas.
Blinken anataka kukutana Na uongozi Wa Hizbollah pamoja Na France envoy kwaajili ya kujitahidi kuwabana wasije kuanzisha full scale war.
Ushajiuliza kwanini mpaka viongozi Wa mataifa makubwa duniani wanataka kukutana Na Hassan Nasrallah???
Hizbollah Sio Hamas.
Israel inajua ilichofanywa 2006 pale bint jubeir.
Kalipua nn huko galilaya na mullat????
Na hassan huu mwaka wa ngapi kajificha kama mwanamke anaogopa nn???
Na kiongozi yupi anataka kumuona mtaje???
NB:WANAJESHI KUFA VITANI KAWAIDA...WEKA IDADI YA WANAJESHI WA HAMAS WALIOKUFA????
Screenshot_20240106-101147.png
 
Walishawahi pigika mbele na nyuma na Hezbollah.

Israel ilipiga maeneo yote muhimu siku ya kwanza nchini Lebanon,siku ya pili wakarudia Tena kujiridhisha hawaachi kitu, siku ya tatu wakapumzika hawana pa kupiga.
Siku ya Tano Hezbollah iliponyanyuka,,,,, Israel ikaomba mazungumzo🤣🤣🤣
Mkuu unaongea kishabiki...sio kiasilia
Screenshot_20240106-101147.png
 
Kamanda wa Israel ndo aanike udhaifi wa Israel kwa maadui wa Isarel, kwenye uwanja wa vita jambo la uongo linageuzwa kuwa ukweli na jambo la ukweli linageuzwa kuwa a uongo ili kumpumbaza adui. Kama ni hivo kwamba Hezbollah anaweza kumshinda Israel basi Israel ingekuwa imeshafutwa kwenye ramani ya Dunia.
UMEONGEA POINTI
 
Mnaota ndoto za mchana kuwa Hezbollah wana silaha kali kuzidi Israel anayejitengenezea silaha zake na Hezbollah wanaookoteza visilaha vya Iran, Israel akiingia na ndege F 35A 10 tu na akatumia balistic missiles za Arrow- 3 , ni masaa 4 Hezibollah na jeshi la Lebanon watakuwa hawana uwezo wa kurusha hata ndege moja, na anga lote litakuwa chini ya Israel
Punguza kuangalia movies...
 
Hata kwenye world war two ussr ilipoteza watu wengi ila ndio inayohesabiwa kua ilimtwanga hitler

Huna hoja sababu kufa kwa watu sana sio kushinda vita

Hata iraq iran war ya mwaka 80 iran ndio walipoteza watu wengi ila historia inamuhesabu iran kama mshindi

Kua watu sio ushindi wa vita kijana kama ingekua hivyo israhell kwasasa ingekua inatawala ukanda wa ghaza
Kwahiyo Gaza inatawaliwa na Hamas!?
 
Hizbollah kashakiamsha Jana Na juzi Kwa kulipua Mullat Na Galilee Na IDF soldiers wengi tu wamekufa Na kugeuka walemavu.
Pia usisahau Jana Askari 9 Wa IDF on the spot wameuawa Na Hamas.
Blinken anataka kukutana Na uongozi Wa Hizbollah pamoja Na France envoy kwaajili ya kujitahidi kuwabana wasije kuanzisha full scale war.
Ushajiuliza kwanini mpaka viongozi Wa mataifa makubwa duniani wanataka kukutana Na Hassan Nasrallah???
Hizbollah Sio Hamas.
Israel inajua ilichofanywa 2006 pale bint jubeir.
Maneno tuu ya mashoga
 
Hakuna taifa la kulishinda Israel hata moja
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Israel inayolindwa na Western Imperialists kama kifaranga dhidi ya mwewe!?
Hamas tu inamtoa udenda katoa mpaka jeshi la akiba.
Unatoa askari laki sita kupigana na wanamgambo elfu ishirini na bado hufanikiwi popote.
 
Wapigane bas waache ngonjera kama waimba kwaya....huu mwezi wa tatu maneno meengiii...na hawajavuka mpaka....wakati wayahudi wanaeliminate target zao Beirut.
Au wamesahau alichokisema mkuu wao 2006..
View attachment 2867972


Si uende tu ukaolewe wewe senge linalia basha wake kauliwa Gaza ,

Cpt. Sagi Golan, 30: Killed 13 days before wedding to his boyfriend​



1705067823455.jpeg
 
Back
Top Bottom