Habari wana jamvi. Hoja kuu inayotikisa kwa sasa ni picha za CCTV za gari lilitumika kufanya tukio la utekaji wa Mo Dewji.
Hoja inajikita katika aina na sifa ya picha ya gari hilo na mazingira yake.
Kama sijakosea..Kamanda Sirro alisema picha za CCTV zilisaidia kulibaini gari hilo.
Hivyo usahihi wa picha ya gari na mazingira yake si lazima visadifu CCTV camera za siku ya tukio husika lilipotokea.
Zile ni picha za gari husika kutokakana na taarifa za kiinteligensia kwa mujibu wa CCTV CAMERAS...
Nawasilisha.