Kamanda Sirro wewe ni jembe

Kuna watu wengine hakuna haja ya kuwasifia.. Siro anasifa zake za kipekee.
 
Mkuu ukisema """haki ya mtume """ unakusudia nini?
 
Anafanya kazi katika mazingira magumu sana. Hafanyi kazi za kipolisi anaingiliwa kiutendaji aachwe huru atumie ujuzi wake

Yaani wewe umeelewa vizuri joto la viatu vile..
 
Kammanda ambaye mimi naona anafanya kazi kwa akili na maarifa ni AHMED MSANGI, RPC MWANZA
 

Sirro hakufanya huo ujinga mkulu wangu.
 
Tatizo ni bashite na kuminya democrasia,,,,OK napita tu ata IDD amin kuna wanaomwita jembe
 
Aliyepewa tuhuma na RC wa DSM KUWA anayepokea rushwa ya wauza shisha ???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…