pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,325
- 1,615
Kamanda naye ni MSHAMBA tu kutembea na bastola kiunoni....
Hapo ndipo makosa yalipo, ukija kutoa kauli kama hii hakikisha vyombo vyote vya recording vimezimwa na watu waliopo wamelishwa viapo vya kutosema walichokiona au kusikia. Mbali na hapo kauli kama hizi zinaingia katika kauli tata zilizowahi kutamkwa na watu wenye nafasi kubwa za umma duniani!
Kwa nini unamwita mwanadamu nyumbu wakati hujasema wewe ni mnyama gani? Twambie kwanza wewe ni mnyama gani kati ya hawa hayawani: mbweha, fisi konokono, ngiri etc.Kwahiyo Siro ndio anayetamka sheria, maana unatuambia kwakuwa amesema ni ushamba basi sio jinai? Kwa mapovu yako ni kwamba kuanzia jana basi ile sheria inayosimamia silaha za moto imefutwa na kamanda Siro? Akili za nyumbu wanazijua wenyewe na USHAMBA WAO.
Kwahiyo Siro ndio anayetamka sheria, maana unatuambia kwakuwa amesema ni ushamba basi sio jinai? Kwa mapovu yako ni kwamba kuanzia jana basi ile sheria inayosimamia silaha za moto imefutwa na kamanda Siro? Akili za nyumbu wanazijua wenyewe na USHAMBA WAO.
Acha upotoshaji we nazi kifuu, watu wanaongelea hoja ya matishiyo ya silaha ni ushamba au ni jinai? Nani anatafsiri sheria: ni Siro au ni mahakama?Kwa nini unamwita mwanadamu nyumbu wakati hujasema wewe ni mnyama gani? Twambie kwanza wewe ni mnyama gani kati ya hawa hayawani: mbweha, fisi konokono, ngiri etc.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro (kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari leo), watu wanaowatishia watu bastola ni WASHAMBA.
Amenukuliwa akisema "watu wanaofanya hivyo ni washamba na hawajui taratibu za matumizi ya silaha, kwa sababu silaha hutumika pale ambapo nguvu za kawaida zimeshindikana".
Ukiisoma katikati ya mistari kauli hiyo ya Kamanda Sirro na kuyachambua matumizi ya maneno hayo, kuna ujumbe mkubwa sana unaweza kuupata.
Kwa hiyo tunaambiwa, tena na Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, kuwa kutishia bastola si tena kosa la jinai bali ni USHAMBA.
Na kwa sababu huo ni ushamba wala si uhalifu na wanaofanya ni washamba wala si wahalifu, maana yake tusitarajie hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi ya uhalifu na wahalifu.
Kauli hii inatupatia ujumbe mzito kuhusu kigugumizi walichonacho polisi katika kushughulikia matukio ya hivi karibuni ambayo yamehusisha utoaji wa silaha hadharani na kutishia watu.
Maana yake, kwa kauli ya Sirro, ni kwamba yule aliyemtolea na kumtishia bastola Nape Nnauye wakati akizuiwa kuzungumza na waandishi wa habari ni MSHAMBA aliyefanya kitendo cha KISHAMBA, sasa tangu lini Jeshi la Polisi likashughulikia masuala ya USHAMBA wa mtu au watu!
Kwa kauli hiyo ya Kamishna Sirro, mmoja wa wavamizi wa press conference ya viongozi wa CUF hivi majuzi ambaye anatuhumiwa kutoa na kuwatishia bastola viongozi wale na waandishi wa habari na kusababisha taharuki kubwa na kuumiza watu, ni mtu MSHAMBA aliyefanya tendo la KISHAMBA.
Kutoa na kutishia watu kwa bastola ni USHAMBA. Alas!
Kauli hiyo ukiichambua sana unaweza kujikuta unafanya rejea ya zile kauli zinazotumika sana huko 'site' kuwasema baadhi ya watumishi wasiokuwa waadilifu wa vyombo vya dola ambao wakikaa mahali (baa) na wakata kutambulika kuwa wapo na wao ni akina nani, hujigamba kwa kutoa vitambulisho au kuonesha bastola. Watu 'baki' au raia wa kawaida huishia kusema USHAMBA huo.
Huishia kuwaita washamba kwa sababu hawana uwezo wa kufanya jambo jingine dhidi ya 'maofisa' hao.
Wallah, Hoi polloi tuna kazi kubwa awamu hii. Tutasikia na kuona mengi. Tunasubiri kuona polisi wa Kamishna Sirro wakishughulika na watu WASHAMBA wanofanya mambo ya KISHAMBA ya kutishia watu bastola (tena wasiokuwa wahalifu) mchana kweupe.
Na kama matukio ya namna hiyo yameanza kutafutiwa na kupewa jina la USHAMBA, fikiria mwenyewe tuko katika hali gani na nini kitatokea au kitaendelea kutokea.
Nazi kifuu na nyumbu ni washirika wa jamii forum na pia huwa wanajua kuandika? Hebu niambie wewe ni mtu au ni kiumbe gani, Maana huwezi endesha mdaharo na nyumbu na Nazi kifuu , maanake wewe ni mwendawazimu sasa au? Hoja yangu ndio iko hapo, samahanj lakini.Acha upotoshaji we nazi kifuu, watu wanaongelea hoja ya matishiyo ya silaha ni ushamba au ni jinai? Nani anatafsiri sheria: ni Siro au ni mahakama?
Nyie ndo Siro anaowaita washamba. Yaani kwa akili yako fupi unadhani mahakama itakwenda kumkamata mtuhumiwa na kupeleleza kesi kisha kuitolea maamuzi? Anayetakwa kukamata na kupeleleza amesema ni ushamba. Na yeye kama mtaalamu wa fani hiyo hakutakiwa kutueleza yupi mshamba yupi wa mjini kwani si jukumu lake. Suala la jinai halitakiwi kufanyiwa utani kama huu na ndo maana mleta mada akasema maneno ya Siro yanahafifisha matarajio ya waathirika walioamini kitendo walichofanyiwa ni jinai kubwa lakini waliyemtegemea achukue hatua anakiona kitendo hicho kama ushamba tu. Ni sahihi?Acha upotoshaji we nazi kifuu, watu wanaongelea hoja ya matishiyo ya silaha ni ushamba au ni jinai? Nani anatafsiri sheria: ni Siro au ni mahakama?
Acha upotoshaji we nazi kifuu, watu wanaongelea hoja ya matishiyo ya silaha ni ushamba au ni jinai? Nani anatafsiri sheria: ni Siro au ni mahakama?
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro (kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari leo), watu wanaowatishia watu bastola ni WASHAMBA.
Amenukuliwa akisema "watu wanaofanya hivyo ni washamba na hawajui taratibu za matumizi ya silaha, kwa sababu silaha hutumika pale ambapo nguvu za kawaida zimeshindikana".
Ukiisoma katikati ya mistari kauli hiyo ya Kamanda Sirro na kuyachambua matumizi ya maneno hayo, kuna ujumbe mkubwa sana unaweza kuupata.
Kwa hiyo tunaambiwa, tena na Kamishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, kuwa kutishia bastola si tena kosa la jinai bali ni USHAMBA.
Na kwa sababu huo ni ushamba wala si uhalifu na wanaofanya ni washamba wala si wahalifu, maana yake tusitarajie hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi ya uhalifu na wahalifu.
Kauli hii inatupatia ujumbe mzito kuhusu kigugumizi walichonacho polisi katika kushughulikia matukio ya hivi karibuni ambayo yamehusisha utoaji wa silaha hadharani na kutishia watu.
Maana yake, kwa kauli ya Sirro, ni kwamba yule aliyemtolea na kumtishia bastola Nape Nnauye wakati akizuiwa kuzungumza na waandishi wa habari ni MSHAMBA aliyefanya kitendo cha KISHAMBA, sasa tangu lini Jeshi la Polisi likashughulikia masuala ya USHAMBA wa mtu au watu!
Kwa kauli hiyo ya Kamishna Sirro, mmoja wa wavamizi wa press conference ya viongozi wa CUF hivi majuzi ambaye anatuhumiwa kutoa na kuwatishia bastola viongozi wale na waandishi wa habari na kusababisha taharuki kubwa na kuumiza watu, ni mtu MSHAMBA aliyefanya tendo la KISHAMBA.
Kutoa na kutishia watu kwa bastola ni USHAMBA. Alas!
Kauli hiyo ukiichambua sana unaweza kujikuta unafanya rejea ya zile kauli zinazotumika sana huko 'site' kuwasema baadhi ya watumishi wasiokuwa waadilifu wa vyombo vya dola ambao wakikaa mahali (baa) na wakata kutambulika kuwa wapo na wao ni akina nani, hujigamba kwa kutoa vitambulisho au kuonesha bastola. Watu 'baki' au raia wa kawaida huishia kusema USHAMBA huo.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁😛😛😛😛😛😛😛😛
Hii kweli ni nchi ya VI - WONDERS
Huishia kuwaita washamba kwa sababu hawana uwezo wa kufanya jambo jingine dhidi ya 'maofisa' hao.
Wallah, Hoi polloi tuna kazi kubwa awamu hii. Tutasikia na kuona mengi. Tunasubiri kuona polisi wa Kamishna Sirro wakishughulika na watu WASHAMBA wanofanya mambo ya KISHAMBA ya kutishia watu bastola (tena wasiokuwa wahalifu) mchana kweupe.
Na kama matukio ya namna hiyo yameanza kutafutiwa na kupewa jina la USHAMBA, fikiria mwenyewe tuko katika hali gani na nini kitatokea au kitaendelea kutokea.
Duuuh...rudi kwenu call m je!Labda alikuwa anatania!!!!
Hmm....kasema hivyo kweli au kanukuliwa au kaeleweka vibaya?
Mkuu edwin george,kipindi cha nyuma nilikuwa naamini kuwa tatizo la ujinga tunalimaliza kwa kasi kubwa,lakini ukweli kwa sasa tatizo limekuwa kubwa kupindukia. Nilikuwa naamini JF si nyumba ya vilaza bali FB,kumbe kuna mavilaza ya kutupwa humu. Tatizo la uelewa hafifu ni kubwa sana. Tunapigia kelele uelewa wa wanafunzi wetu waingiao kidato cha kwanza ni wa darasa la 3 na kumbe wapo watu wenye fursa zote za kutokuwa vilaza na bado ni vilaza. Mtu anayeweza peruzi JF maana yake ni mtu mwenye uwezo na kila sababu ya kuwa kaelimika,lakini unakuta mtu ni kama huyo jamaa hapo juu. Hili ni janga.Watu wengi wana tatizo la kutoelewa habari ambaye mmoja wapo ni wewe. Nimesoma habari nyingi tu na coments za watu nimegundua watu wana tatizo la kuelewa
Nilikuwa nadharau sana kazi ya uchambuzi lakini nimegundua wachambuzi wa mambo ni watu muhimu sana kutokana kwamba
Watu wengi wana tatizo la kuelewa habari
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]HATA Mi nakubari ni ushamba kumtishia mtu silaha ,,dawa ilitakiwa ampe mtu shaba ya kichwa ndio tungemuona mjanja,,,, viva kamanda sirro