comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Dah bora angesema zimeibwa nyaraka mbili tatu zilzoiuwa zimechapishwa kwenye karatasi ila laptop dah, hapo zinaweza zikawa nyaraka nyingi zaidi labda hafahamu kama laptop inaweza kuhifadhi nyaraka na hata ukizifuta kuna wajanja wanaweza kufanya recovery na kuzirudisha🙁anajua kilichokuwemo kwenye laptop au anadhan nyaraka lazima ziwe inform of papers atuulize sie wadukuzi
Amesema hakuna nyaraka iliyoibwa. Kwa hapo hapo yupo sahihi. Kwenye komputa mpakato kunakuwa hakuna nyaraka bali taarifa!!!Dah bora angesema zimeibwa nyaraka mbili tatu zilzoiuwa zimechapishwa kwenye karatasi ila laptop dah, hapo zinaweza zikawa nyaraka nyingi zaidi labda hafahamu kama laptop inaweza kuhifadhi nyaraka na hata ukizifuta kuna wajanja wanaweza kufanya recovery na kuzirudisha🙁
Siku hizi watu wana save kwenye external disc, siyo kila lab top ina kila kitu ndani.Dah bora angesema zimeibwa nyaraka mbili tatu zilzoiuwa zimechapishwa kwenye karatasi ila laptop dah, hapo zinaweza zikawa nyaraka nyingi zaidi labda hafahamu kama laptop inaweza kuhifadhi nyaraka na hata ukizifuta kuna wajanja wanaweza kufanya recovery na kuzirudisha🙁
kimbunga ebu acha kujitoa fahamu huyu bwana kachemsha labda aseme laptop mpyaAmesema hakuna nyaraka iliyoibwa. Kwa hapo hapo yupo sahihi. Kwenye komputa mpakato kunakuwa hakuna nyaraka bali taarifa!!!
Kamanda msomi wa polisianajua kilichokuwemo kwenye laptop au anadhan nyaraka lazima ziwe inform of papers atuulize sie wadukuzi
Afande anadhani ni majalada aseee.anajua kilichokuwemo kwenye laptop au anadhan nyaraka lazima ziwe inform of papers atuulize sie wadukuzi
...,duh Kimbunga hizi sio zama za majalada ya khakii ni zama za majalada tepete.Amesema hakuna nyaraka iliyoibwa. Kwa hapo hapo yupo sahihi. Kwenye komputa mpakato kunakuwa hakuna nyaraka bali taarifa!!!
Suala la kuzusha taarifa za uongo ni vema aanze na RC aliyemzushia kamanda kala mlungula ili kuruhusu shisha asipomchukulia hatua RC tutajua ni kweli alikula huo mlungula
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro, amewaonya watu wanaozusha na kusambaza taarifa za uongo kuacha mara moja.
Sirro alisema kitendo cha kuibua na kusambaza taarifa za uongo juu ya Serikali katika mitandao ya kijamii na magazeti, kinaleta picha mbaya kwa nchi ikiwa ni pamoja na kuwayumbisha wananchi.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi baada ya mwanzoni mwa wiki hii gazeti la kila wiki (si MTANZANIA), kuchapisha taarifa ya kuvunjwa kwa paa la Ofisi ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali na kuibiwa kwa nyaraka muhimu.
Akitolea ufafanuzi suala hilo, Sirro, alisema ni kweli upo uhalifu uliofanyika katika ofisi hiyo, lakini hakuna nyaraka yoyote muhimu ya Serikali iliyoibwa kama ilivyoripotiwa.
Alisema uhalifu huo umefanywa na vibaka na wala hakukuwa na njama zozote za kuihujumu Serikali na uchunguzi wao umebaini kuwa hakuna mtumishi yeyote wa Serikali aliyehusika.
“Hakuna nyaraka ya Serikali iliyoibwa, zaidi ya seti moja ya televisheni, king’amuzi cha runinga na kompyuta mpakato,” alisema Sirro.
Aliongeza kuwa tayari jeshi lake limeshawakamata baadhi ya wahusika wa tukio hilo na kufanikiwa kupata baadhi ya vifaa vilivyoibiwa.
Pia alisema kwa sasa wanakamilisha upelelezi na wakati wowote wahusika watapandishwa mahakamani.
Kuhusu suala hilo kushughulikiwa kwa siri kubwa, alisema hakuna ukweli juu ya hilo, kwa sababu kila kitu kinawekwa wazi kwa mujibu wa utendaji kazi wa jeshi lake.
Alisema si jambo jema kuripoti taarifa za uongo kwa nia ya kuifanya iwe kubwa.
“Nawaonya watu wote wanaoibua na kusambaza taarifa zenye nia mbaya dhidi ya Serikali, ni vema vyombo vya habari vikatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia masilahi mapana ya nchi.
“Kitendo cha kuripoti kuwa nyaraka za Serikali zimeibwa kina hatari kubwa kwa nchi, nawaasa ndugu zangu wanahabari, tushirikiane kuyapinga matendo ya namna hii,” alisema Sirro.

Tushazoea kila kitu kinakanushwa ,hapa bora niamin gazeti kuliko habari yeyote kutoka kwa kiongozi yeyote