Kamanda Siro jiji limekushinda?

Kamanda Siro jiji limekushinda?

Mchumi90

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,102
Reaction score
1,331
Huyu kamanda anajulikana kwa umahiri wake wa kupambana na wahalifu. But practically kwa jiji la DSM yamemshinda na waliomshinda ni vitoto vidogo vinavyojiita PANYA ROAD. Hawa watu ni kero sana kwa wakazi wa maeneo ya nje ya mji. Leo nilimtembelea ndugu yangu maeneo ya Mbagala Kiburugwa nimewaona live jinsi walivyowatia hasara na ulemavu baadhi ya raia.
Ni kikundi hatari zaidi ya Scropion maana kwa wao kukupasua kichwa sio issue yaan, kuna fundi alikuwa anagoma kutoa hela nasikia wamemkata sikio (Nadhani ataonana na Makonda ili apate msaada). Usiombe ukakutana nao hao jamaa.
Kamanda Siro kama jiji limewashinda mseme maana kama mkiamua kutumia nguvu kama ile ya mazoezi ya Ukuta mtawasambaratisha. Tunaomba tamko la jeshi la polisi juu ya hawa wahuni.

Cc Simon Siro na Crew yake.
 
Wapo sabasaba sa hv wanapora RAIA wameamua kupambana nao wawili wamefariki tayari cjui polisi wapo wp
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom