Mungu amtie nguvu na atashinda hakika
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Nyasa kwa tiketi ya UKAWA, Kamanda Ngwatta amerejea ulingoni baada ya kutibiwa na kupona kufuatia ajali aliyoipata kwenye harakati za Kampeni.

Nimecheka almanusura nichane mbavu !Sisi MALOFA tukiponea hapa nyumbani, wao wanao jiona ni wa madaraja ya juu na kukimbilia India wanazimika. Israeli aendelee wakaribisha kwake wale wote wanao kimbilia huko kwa kuto kutengeneza hospitali zetu na kukimbilia India. AMINA.
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Nyasa kwa tiketi ya UKAWA, Kamanda Ngwatta amerejea ulingoni baada ya kutibiwa na kupona kufuatia ajali aliyoipata kwenye harakati za Kampeni.
kama alimtusi Raisi wetu Lowassa , Bora hasingerudi!!