Kamanda Muroto mzee wa burudani

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,256
Nimekuwa nikufuatilia sana Press za Polisi Dodoma ama kwa hakika huyu Kamanda Gillas Muroto ni burudani tosha kuanzia lafudhi yake mbwembwe za kuwalineup wahalifu lakini kikubwa zaidi ni Slogan yake Ukiingia Dodoma kufanya uhalifu hutoki.Pamoja na tukio la Lisu kumtia Doa ila kamanda huyu ni Burudani ya aina yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…