GE2025 Kamanda Muliro: Jeshi la polisi limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao ya kupiga kura bila hofu na vitisho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,230
Vitisho vinaendelea
==============
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu bila hofu.

Katiba gani hiyo inayotaja tarehe 29 ??

Na wanaondamana katiba mbona ndio imewaruhusu kuandamana na polisi wanatakiwa kupewa taarifa.

Na hayo maandamano wanayofanya polisi na vyombo vingine vya dola nani amewaruhusu??

Matukio zaidi ya 200+ ya utekaji ila hakuna mtekaji hata 1 amewahi kufikishwa katika vyombo vya sheria.
 
Hata kama hatutaabdana tar 29 viongozi wanajua kabisa kuna siku haina saa patanuka hilo wanalijua ndo maana wanakuja na mikwara mbuzi ... Kupima upepo ila wanajua hawatoboiiii
 
Vitisho vinaendelea
==============
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu bila hofu.

Vitisho vinaendelea
==============
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu bila hofu.

Haki za msingi zinafinyangwa kila siku ila haki ya kuyapata / kupatiwa madaraka mnaibembeleza kwa manufaa ya kakikundi ka wachache kenye kunufaisha wachache!
 
Back
Top Bottom