salmar
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 799
- 363
Kumbe tatizo lako ni majina?!. tena nakuongezea rais ni Mrisho, na Makamo wa rais ni Mohamed!.
Wakati ule rais akiwa Benja, Waziri Mkuu Fredi, Spika Pius, Jaji Mkuu Banaba, CDF akiwa Robati, Mkuu wa Tiss akiwa Coloneli, IGP Solomoni, Mkuu wa Takukuru Edward, Waziri wa Ulinzi Philemoni, Mambo ya Ndani Agustino etc etc, mbona hamkusema?!, au hamuoni!. ila tuu inapokuwa ni Mrisho, Mohamed, Saidi, Othmam, au Suleiman ndio mnaona!, mnasema!.
Mtatakuja kujifia na vijeba vya roho ya chuki za udini!.
Pasco.
Kaka pasco mwambie huyo mdini ajitambue na walivopangana wakapiga epa rada wakabinafsisha kila kitu wakauza dhahab zetu almasi yetu kwa kitu cha ten per