Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Tume imeomba mabilioni bila mchanganuo wa pesa zinaenda kutumikaje
 
Kuna mpango wa kurekebisha majimbo,mpaka sasa haijulikani ni majimbo yapi
 
jamaa wanajiandaa km Nkuruzinza...Ccm wajinga kweli..Ndio maana JK hathubutu mpinga huyu jamaa.
 
Kura ya maoni haipo,kwa mujibu wa sheria imevunjwa.ananukuu randama,Mbowe yupo deep,facts tupu
 
Vyombo vya serikali vimeanza kupiga kampeni ya kura ya maoni.Kudadeki refa kapunguza mda kakomaa
 
mama kaanza kichaa kaumia vidonge..Mama kapanic kwa wendawazimu.
 
Yale yale tayali hotuba ya mbowe spika ameikatisha.
 
jamaa wanajiandaa km Nkuruzinza...Ccm wajinga kweli..Ndio maana JK hathubutu mpinga huyu jamaa.
Mbowe na Nkuruzinza wanatofauti gani wote wamejiongezea muda wa uongozi wamebadili katiba zao.
 
Mama kawa mkali kama pilipili.sasa TL analeta busara kubwa hapa
 
CCM wanaogopa kilichoandikwa kisisomwe...?Anajua kina damage kwa ccm.
 
Sasa kama Mbowe ataendelea na wale wengine wakakosa kuna tatizo.daaah hizi fitna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…