maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 141
Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu kamanda MAWAZO, kazi ya mikono yake haita lala bila kulipwa malipo yaliyo mema.
Think tankers wa CCM kwa sasa ni Mwigulu, Lusinde, Nape, Mukama, Shonza na Mwampamba.hapa CCM walibutua tena... Wasingekataa uchaguzi kata ya Sombetini, ungekuta Mawazo sasa yupo bize kwenye kata yake akitetea kiti chake.. Lakini kwa kumuacha huyu jamaa free, atawapotezea CCM si chini ya kata 5, na bado Sombetini itakuwa ya CDM! Hawa CCM sijui nani anawashauri!!!