masanjasb JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 2,364 Reaction score 869 Mar 1, 2013 #21 Wish na Lema nae angeendelea tu na amsha amsha yake as usual,ili iwe twanga kote kote
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Mar 1, 2013 #22 Once again, BIG UP kamanda Mawazo. Hivi kanda nyingine hazina makodineta? Maana tunamsikia huyu tu kila siku. Swali la maono ya mbali: Hivi huyu bwana ana ulinzi wa kutosha?
Once again, BIG UP kamanda Mawazo. Hivi kanda nyingine hazina makodineta? Maana tunamsikia huyu tu kila siku. Swali la maono ya mbali: Hivi huyu bwana ana ulinzi wa kutosha?
Nswima John Edward JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 612 Reaction score 312 Mar 2, 2013 #23 Bigman unatisha, mambo yangu yakiwa sawa next week, lazima niitafute 10,000 nikutumie unywe japo Kilimanjaro Pure Drinking Water, for sure naikubali sana kazi yako, KEEP IT UP!!
Bigman unatisha, mambo yangu yakiwa sawa next week, lazima niitafute 10,000 nikutumie unywe japo Kilimanjaro Pure Drinking Water, for sure naikubali sana kazi yako, KEEP IT UP!!
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,341 Mar 2, 2013 #24 decruca said: Sasa la ajabu ni lipi? kwani kakako akiwa waziri na wewe ni waziri? au lazima ufuate misingi ya chama chake? Click to expand... Dogo naye kama katumwa hivi na bro.... kuweni makin kwahili CDM bukoba.
decruca said: Sasa la ajabu ni lipi? kwani kakako akiwa waziri na wewe ni waziri? au lazima ufuate misingi ya chama chake? Click to expand... Dogo naye kama katumwa hivi na bro.... kuweni makin kwahili CDM bukoba.