Kamanda mangu aula jeshi la polisi:-

bluecolour

JF-Expert Member
May 20, 2013
202
225
Hatimaye Kitendawili Cha Nani Atamrithi IGP MWEMA Kimeteguliwa Baada Ya Kamanda Mwandamizi Ernest Mangu Kuteuliwa Kuwa Mkuu Mpya Wa Jeshi La Polisi... Kwa Mujibu Wa Taarifa Kutoka Magogoni Jioni Na Kusainiwa Na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Sefue Ombeni Mh. Jakaya Kikwete Ameteua Jina La Mangu Katika Majina Matatu Yaliwasilishwa Mezani Mwake Akiwa Na Diwani Athuma Na Thobiasi Andengenye.. HONGERA KAMANDA MANGU NA ONESHA ULIMWENGU KUWA JK HAKUKOSEA KUKUTEUA WEWE..,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom