Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,043
Ikiwa ni siku tulivu kabisa mhe. Ngoyai anatarajiwa kuwasili mjini Singida mishale ya saa sita akitokea mkoani Dodoma ampapo atafanya mkutano wa kihistoria kwenye viwanja vya peoples kuanzia saa 10 jioni. Maandalizi yamekamilika mji mzima ni shamra shamra kuashiria uwepo wa kiongozi mkubwa.
……………………………………………………………………………………

Nimeshapiga kambi hapa uwanjani kwa ajili ya kuwaletea updates kwa kila kitakachokuwa kinajiri.
……………

Stay tunes for updates and photos

 
pichaaaa.
pipoooooooozzzzzziiiiii
 
Singida si ndo anatoka yule jamaa mwanasheria maarufu na mbobezi ambaye hata mwanasheria mkuu wa ccm anaomba ushauri kwake?
Hatarereeee.....
WATZ WANATAKA MABADIRIKO
 
Singida kamanda lisu alishamaliza kazi,serekali za mitaa aliwapiga miguu juu kichwa chini,sipati picha mwaka huuu lisu wakishirikiana na lowasa itakuwa ni shida ya hatari
 
Yaani mpaka saivi RAIS ni LOWASSA jana Dodoma wamesema YESSSSS kwa LOWASSA mpaka IKULU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…