[emoji113] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Mbona umeenda hadi Ufaransa mkuu?Kaweka mkono kwa mfuko
Unaweza kuwa mtoto wa kishua lakini muhuni muhuni na mtoto wa mjini vile vile..Masela na watoto wa kishua
Nakwambia na walishakatazwa kusalimiana na Huyo mtu kabisaPolepole tafadhali, mkemee Magige. Anatusaliti.
Leo umetema asali, pointSaa ulitaka wapigane kwa sababu wapo vyama tofauti au?
ndugu sijalih pengine kawaza kivingineLEMA anamheshimu sana Mungu, lakini pia kuweka mikono mfukoni ni ishara ya kumuheshimu Mke wake, endapo angeonekana wamekubatiana...tayari ingekuwa gumzo la siku katika mitandao mbalimbala ya kijamii