Kamanda Lema kumbe kipenzi cha watu wote

Kamanda Lema kumbe kipenzi cha watu wote

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
1501389435568576511.jpg

Lema akimfurahisha mbunge Cathy Magige (CCM) ,huku mdee akiwa karibu
 
Mashabiki Maandazi wa Chadema na CCM wana cha kujifunza kwny Hiyo Picha!
 
Kaweka mkono kwa mfuko

Anazuia Mwamvul uliofunguka usionekane! ( kidding)

Mh. Lema ni kawaida yake kuweka Mkono wake wa kushoto Mfukoni, Tazama Picha au Clip zake nyingi akiwa anazungumza Bungeni
 
Back
Top Bottom