kova ajiuzulu kwa kitendo cha kupoteza imani kwa wananchi kwa jinsi alivyolivalia njuga suala la kumuanda muro bila sababu za msingi na kuliongezea hamasa ilo jambo, ebu tujiulize, mapolisi wote wale na silaha nzito kana kwamba unaenda kupambana na majambazi ni kwa sababu ipi, kuita press conference kutangaza suala la muro kuchukua rushwa na mwisho kubadili maneno inaonesha hayupo makini na kazi yake, kama suala ni profile ya mtu je alituma askari wenye siraha nzito wakamkamate? na je aliitisha press conference wakati katibu mwenezi wa ccm mkoa wa dsm mtoto wa manara alipotapeli magari kwa ushahidi ulio wazi?
je hamasa aliyoiongeza ktk suala lisilokua na ukweli wowote nini kirimdrive? je jeshi la polisi limejiongezea majukumu ya takukuru? kwa mtu aliye makini na kazi yake anaweza kutuma askari wenye siraha nzito kumkamata mtu eti alinidai rushwa sio kwamba naenda kumpa rushwa!
nilikua namuheshim sana kova ila kwa ili, credibility yake imeshuka kua zero and if i were him i would apologise to muro if not resigning immediately to win back the trust of ''concerned'' tanzanians.