Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Wajihi wake umeanza kukunjamana kuashiria uzee.....
Alitakiwa kustafu Oktoba mwaka jana, tukaambiwa ameongezewa mwaka mmoja na Mkulu aliyepita kwamba watastafu wote.
Sasa tunauliza ni lini kamanda wetu huyu atastafu, maana amekuwa na utumishi uliotukuka ndani ya jeshi letu la polisi, mwaka alioongezewa ushatimia.
Wenye kujua karibuni mtujuze
Sidhani kama ni kweli,ipo mifano mingi sana wa karibu zaidi ni Adad Rajab,wewe na yeye nani mpweke?maisha ya maaskari baada ya kustaafu huwa ni ya mateso,regrets na upweke,hakuna kazi mbovu kama upolisi
maisha ya maaskari baada ya kustaafu huwa ni ya mateso,regrets na upweke,hakuna kazi mbovu kama upolisi
Wajihi wake umeanza kukunjamana kuashiria uzee.....
Aongezewe tena mwaka amalizie kazi ya kupunguza majambazi .Nafurahi kumwona mara kwa mara kwenye TV
Ni kweli yaani hata nami baba mdogo kastaafu na cheo ACP alikuwa OC FFU ila kwa ana hali ngumu,hadi namhurumia.