Kamala Harris ndiye mgombea mwenza wa Joe Biden

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,784
Yametimia, Joe Biden keshachagua mgombea mwenza. Nilikuwa nasoma sehemu kwamba Democrats walishauri achague mgombea mwenza mwanamke tena mweusi: Binafsi nilihisi labda wanatania au wameenda mbali sana lakini yametimia. Hapa inamaanisha kwamba huyu babu Joe Biden mwenye miaka zaidi ya 77 akiwa Rais na akifia madarakani basi taifa la Marekani litakuwa na Raisi mwanamke wa kwanza, tena mweusi.

Sasa kama huyu babu Biden ameshauriwa vizuri au vibaya, binafsi sifahamu. Lakini ambacho nina uhakika nacho asilimia 100% ni kwamba watu wakifikiria kwamba endapo huyu babu atashinda na bahati mbaya akafia madarakani basi Kamala Harris ndiyo atakuwa Rais wao, nadhani italeta sana shida.

Japo kimkakati inaweza kuwasaidia kupata kura za weusi na zile za wanawake, lakini nikiangalia kile ambacho alifanywa Hillary Clinton kwasababu ya jinsia yake na kile ambacho alifanywa Raisi Obama kwasababu ya rangi yake nachelea kusema kwamba huyu mama atakuwa na kipindi kigumu sana. Mfumo siyo rafiki kwa mwanamke mweusi, hivyo kama ni chuma cha pua anatakiwa awe chuma cha pua haswaa.


5de153b7fd9db24c4f24dc9a.jpg
----

Democratic presidential candidate Joe Biden has named Senator Kamala Harris as his running mate. She is the first black woman to serve in the role.

Once a rival for the top job, the California senator of Indian-Jamaican heritage had long been considered the front-runner for the position.

The former California attorney-general has been urging police reform amid anti-racism protests.

Mr Biden will face President Donald Trump in the election on 3 November.

Vice-President Mike Pence remains the Republican incumbent's running mate.

Mr Biden tweeted that he had "the great honour" to name Ms Harris as his running mate.

He described her as "a fearless fighter for the little guy, and one of the country's finest public servants".

He noted how she had worked closely with his late son, Beau, when she was California's attorney general.

"I watched as they took on the big banks, lifted up working people, and protected women and kids from abuse," he tweeted.

"I was proud then, and I'm proud now to have her as my partner in this campaign."

Ms Harris, 55, seen as a rising star within the Democratic party, dropped out of the presidential race in December.

She repeatedly clashed with Mr Biden during the primary election debates, most notably criticising his praise for the "civil" working relationship he had with former senators who favoured racial segregation.

Who is Kamala Harris?
The Democrat was born in Oakland, California to two immigrant parents: an Indian-born mother and Jamaican-born father.

She went on to attend Howard University, one of the nation's preeminent historically black colleges and universities. She has described her time there as among the most formative experiences of her life.

Ms Harris says she's always been comfortable with her identity and simply describes herself as "an American".

In 2019, she told the Washington Post that politicians should not have to fit into compartments because of their colour or background. "My point was: I am who I am. I'm good with it. You might need to figure it out, but I'm fine with it," she said.

What is her record?
After four years at Howard, Ms Harris went on to earn her law degree at the University of California, Hastings, and began her career in the Alameda County District Attorney's Office.

She became the district attorney - the top prosecutor - for San Francisco in 2003, before being elected the first woman and the first African American to serve as California's attorney general, the top lawyer and law enforcement official in America's most populous state.

In her nearly two terms in office as attorney general, Ms Harris gained a reputation as one of the Democratic party's rising stars, using this momentum to propel her election as California's junior US senator in 2017.

She launched her candidacy for president to a crowd of more than 20,000 in Oakland at the beginning of last year.

But the senator failed to articulate a clear rationale for her campaign, and gave muddled answers to questions in key policy areas like healthcare.

She was also unable to capitalise on the clear high point of her candidacy: debate performances that showed off her prosecutorial skills, often placing Mr Biden in the line of attack.

The self-described "progressive prosecutor" tried to emphasise more left-leaning parts of her legacy - requiring body cameras for some special agents at the California Department of Justice, the first state agency to adopt them, and launching a database that provided public access to crime statistics, though she failed to gain traction.

"Kamala is a cop" became a common refrain on the campaign trail, spoiling her attempts to win over the more liberal Democratic base during the primaries. Those same law enforcement credentials could, however, prove beneficial in the general election when Democrats need to win over more moderate voters and independents.

What's the reaction?
Susan Rice, the Obama-era White House national security adviser who was also on the vice-presidential shortlist, was among the first to congratulate Ms Harris.

"Senator Harris is a tenacious and trailblazing leader who will make a great partner on the campaign trail," said the former diplomat.

"I am confident that Biden-Harris will prove to be a winning ticket."
 
Trumpet aondoke tu, ameharibu sana/ameonyesha jinsi USA walivyo vinyonga kwenye masuala ya msingi.
 
We ni mtu mweusi unaehoji ama unafanya confirmation kuwa adai ya mweusi ni mweusi mwenzake .
 
Italeta shida kwa kuwa Harris ni mwanamke ama ni mweusi?
Vyote !kwasababu ni mweusi na mwanamke, mfumo siyo rafiki.
Huyu mama ni mwanasheria machachari sana na yuko smart upstairs, Vetting za wenzetu si za kukurupuka!
Kama hawakurupuki ilikuwaje hadi wakapata Raisi aina ya Donald Trump ambaye wanataka kumtoa kwa nguvu ???
 
Vyote kwasababu ni mweusi na mwanamke, mfumo siyo rafiki.

Kama hawakurupuki ilikuwaje hadi wakapata Raisi aina ya Donald Trump ambaye wanataka kumtoa kwa nguvu ???
Hata Bush Sr aliingia kimajaribio na akavurunda kama alivyovurunda Trump ila yeye hakuvurunda kwa kiwango cha Trump kwa kuwa alikuwa na background ya kuwa boss wa CIA ila naye alikaa term moja. Siyo siri Trump ni Rais wa hovyo kuliko wote kuwahi kutokea kwenye historia ya Marekani.
 
Huyu mama alishindwa kampeni za urais, alishindwa ku connect na black community ..... Biden baada ya kuokolewa na black community kwenye primary - black community imekuea iki demand more .... wanamuendesha sana babu mara watake achague supreme court judge mweusi kama nafasi ikitokea, mara AG mweusi....

Babu anakazi sana.

Corona imemuharibia sana Trump .... angepambana na stori zake za uchumi na angeweza kushinda
 
Huyo babu Trump aondoke hafai.
Huyu mama alishindwa kampeni za urais, halishindwa ku connect na black community .....Biden baada ya kuokolewa na black community kwenye primary -black community imekuea iki demand more....wanamuendesha sana babu mara watake achague supreme court judge mweusi kama nafasi ikitokea, mara AG mweusi....
Babu anakazi sana.
Corona imemuharibia sana Trump....angepambana na stori zake za uchumi na angeweza kushinda
 
Hata Bush Sr aliingia kimajaribio na akavurunda kama alivyovurunda Trump ila yeye hakuvurunda kwa kiwango cha Trump kwa kuwa alikuwa na background ya kuwa boss wa CIA ila naye alikaa term moja. Siyo siri Trump ni Rais wa hovyo kuliko wote kuwahi kutokea kwenye historia ya Marekani.
Na anaenda shunda 2nd term. Ndio utashangaa mwenyewe
 
Huyu mama alishindwa kampeni za urais, halishindwa ku connect na black community .....Biden baada ya kuokolewa na black community kwenye primary -black community imekuea iki demand more....wanamuendesha sana babu mara watake achague supreme court judge mweusi kama nafasi ikitokea, mara AG mweusi....
Babu anakazi sana.
Corona imemuharibia sana Trump....angepambana na stori zake za uchumi na angeweza kushinda
Bado anashinda mchana kweupe jua kali limewaka.
 
Hata Bush Sr aliingia kimajaribio na akavurunda kama alivyovurunda Trump ila yeye hakuvurunda kwa kiwango cha Trump kwa kuwa alikuwa na background ya kuwa boss wa CIA ila naye alikaa term moja. Siyo siri Trump ni Rais wa hovyo kuliko wote kuwahi kutokea kwenye historia ya Marekani.
Unaweza kutaja hata kitu kimoja alichoharibu Trump?

Trump kwa takwimu ndie rais bora kuwahi kutokea Marekani. Mwezi Jue alitengeneza ajira milioni 4.8, haijawahi kutokea toka Dunia imeumbwa.

Achana na hadithi za vijiweni.
 
Back
Top Bottom