Kama zali nimeshinda mamilioni!

Watu wana bahati, naomba uniuzie kwa mil 80 za tz.
 
Hyo ndo kamar ya kibanda umiza,wapolo wanatumia mtandao kukumicha.
 
Yaa kuna kipindi nimenunua nunua, ninaamini hii ni kweli ngoja nimcheki jamaa aliyenisaidia building permit itoke fasta mwaka juzi, ili nianze ujenzi kwa mara ya pili kweli, Mungu hatupi waja wake


mpwa mara yamwisho kunyea DEBE SEGEREA NI LINI
PENGINE KAHAMU KANAKUURUDIA KWA NJIA NYINGINE KAMA ULIINGIA KWA BANGI TRIP HII SERIKALI ITAKUFIKISHA MPWA
SOMA AAYA ZA MWENYEZI MUNGU OGOPA HIVYO VITU VYA BAHATI NASI-BU
 
kama kweli hongera zako,
kama siyo kweli pole zako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…